fundi

  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi natafuta kazi

    Hello Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice. Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote. Namba yangu Ni 0614899688
  3. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania FUNDI GARI

    Engine ni 5VZ Ilichanganya oil na maji nipo hapa kwaajili ya marekebisho ya gari. Mimi ni fundi Nipo bunju b dar es Salaam karibu kwa marekebisho ya Gari yako. Pia nafukia popote ulipo 0788887129 0755539092
  4. danja de genzo

    JamiiForums Tanzania Fundi wa madishi Morogoro

    Habari upo morogoro na unatafuta fundi Karibu upate mafundi waaminifu huduma tutoazo FUNDI MADISHI FUNDI UMEME FUNDI MAFRIJI Karibu upate huduma za KUFUNGA TV UKUTANI, huduma zote zinazohusu solar, huduma zote za UMEME wa majumbani na viwandani ,huduma za kumtengenezea mafriji yasiyopoza Karibu...
  5. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anayeweza kunirekebishia hii simu anicheck

    Simu ni LG G8 thinq Ipo locked na mtandao wa China Unicom. Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G. Mitandao...
  6. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na jiko.
  8. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi wa magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi

    Habari za asubuhi wazee, Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  11. jay musa

    JamiiForums Tanzania Fundi TV anapatikana hapa

  12. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme

    Habari wadau, Tunatoa huduma za ufundi umeme na solar, . wirring aina zote . maintenance ya wirring zote . security system (CCTV) .water pump . Street light N.k Tunapatikana Iringa Mjini Call: 0678019417 Pia tunatoa huduma ya kufunga submiter zinazokata umeme kwa bei poa kbsa
  14. kajojo

    JamiiForums Tanzania Fundi Mzuri wa External hard drive

    Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie. External nilizonazo zinawaka ukiziconnet ila hazisomi sio kwenye computer au kwenye TV.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  16. Murii

    JamiiForums Tanzania Fundi pavements

    Tunahusika na ujenzi wa: 1. Pavement blocks za maua mbalimbali (kufyatua na kupanga) 2. Kujenga kegbstone(bouder blocks) na kudesgn garden🌺🌱 3. Tunafanya renovation (paving zilizotitia) na kuzipaka rangi (painting)🖌️ 4. Tunajenga paving za kisasa kwa kutumia mold za plastic (zinaokoa...
  17. I am jaluo

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi magari Mwanza

    Nina shida gari funguo nimepoteza naomba kama kuna fundi mwanza anaweza kunibadilishia funguo nyingine
  18. The bump

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
Back
Top Bottom