Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.

Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi.

Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board.

Naomba Mnisaidie kati ya Gypsum na Ceiling Board ipi nzuri maana gypsum naona bei sawa na ceiling,wajuzi wa ubora na uzuri tafadhali.

Pia nipate Fundi wa kuniwekea madirisha nyavu nimeweka tu Ma grill ila hela ya kuweka Aluminium sina nimeona niweke tu nyavu naomba fundi wa kunisaidia hiyo kazi pia ili niweze Hamia eneo la tukio.

Nimeona madirisha mengi mazuri yamewekwa wavu tu na grill kwa ndani yamekaa vizuri sana yanavutia nadhani kwa kuanzia yanatosha.

AINA YA MAFUNDI NAOMBA MNISAIDIE NAO :

Sina hela jamani uwezo wangu kiuchumi ni mdogo.

Mafundi wakuniambia blandering tunapga kwa skwea mita siwataki.

mafundi wakuniambia tuna skim kwa skwea mita siwataki.

Kama Mtu anawajua mafundi Profeshinooo wa majumba ya UNUNIO hao siwataki sio levo zangu.

Nawahitaji mafundi MAIKO wanaojua kazi zao kwa levo za kiprofeshino.

Mimi ni Maskini kwahiyo naombeni mafundi wanaoendana na hali yangu hii sio nyumba ni Kibanda kama maboss wa JF mnavyopenda kuita vijumba vya hivi.

Msaada wenu tafadhali... Nyumba Ipo MLANDIZI fundi nitakugharamia NAULI tokea Mlandizi hadi SITE ila kutoka unapotoka hadi MLANDIZI gharama nauli ni juu yako.

Fundi akipatikana Leo Leo Leo tunaenda kuanza kazi

Vifaa vyote VIPO ni mafundi tu Hamna bado.
 
Mkuu umejiita wewe masikini!!
Itoshe tu kusema hakuna kazi ngumu kama kumfanyia kazi masikini. NIKAZI NGUMU KUMFANYIA KAZI MASIKINI KULIKO KAZI YENYEWE.

Na ukitaka uharibu reputation yako nenda kamfanyie kazi maskini.

Hivyo basi nakushauri rekebisha hapo ulipojiita masikini.
Hata sisi maskini tunahitaji kusaidiwa,siwezi kubadilisha mkuu kwa atakae wiwa nisaidia maskini mimi nitaomba anisaidie.

ila maskini mimi naomba nisaidiwe nipate mafundi wakutatua hii changamoto iliyo mbele yangu.
 
Karibu mkuu tukuhudumie sisi hatuchagui wateja
 
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.

Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi.

Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board.

Naomba Mnisaidie kati ya Gypsum na Ceiling Board ipi nzuri maana gypsum naona bei sawa na ceiling,wajuzi wa ubora na uzuri tafadhali.

Pia nipate Fundi wa kuniwekea madirisha nyavu nimeweka tu Ma grill ila hela ya kuweka Aluminium sina nimeona niweke tu nyavu naomba fundi wa kunisaidia hiyo kazi pia ili niweze Hamia eneo la tukio.

Nimeona madirisha mengi mazuri yamewekwa wavu tu na grill kwa ndani yamekaa vizuri sana yanavutia nadhani kwa kuanzia yanatosha.

AINA YA MAFUNDI NAOMBA MNISAIDIE NAO :

Sina hela jamani uwezo wangu kiuchumi ni mdogo.

Mafundi wakuniambia blandering tunapga kwa skwea mita siwataki.

mafundi wakuniambia tuna skim kwa skwea mita siwataki.

Kama Mtu anawajua mafundi Profeshinooo wa majumba ya UNUNIO hao siwataki sio levo zangu.

Nawahitaji mafundi MAIKO wanaojua kazi zao kwa levo za kiprofeshino.

Mimi ni Maskini kwahiyo naombeni mafundi wanaoendana na hali yangu hii sio nyumba ni Kibanda kama maboss wa JF mnavyopenda kuita vijumba vya hivi.

Msaada wenu tafadhali... Nyumba Ipo MLANDIZI fundi nitakugharamia NAULI tokea Mlandizi hadi SITE ila kutoka unapotoka hadi MLANDIZI gharama nauli ni juu yako.

Fundi akipatikana Leo Leo Leo tunaenda kuanza kazi

Vifaa vyote VIPO ni mafundi tu Hamna bado.
njoo inbobo nikuoe namba tuwasiliane na fundi wapo hapo kibaigwa ukitaka hata decoration inapigwa njoo pm
 
Huko inbox unakoitiwa kua makini nako. Kuna wachinjaji hawataki kukuchinjia hadharani ili wasijulikane, wanataka wakupeleke vichochoroni ili wakuchinje kimya kimya
 
Boss mtata wewe mafundi wanakukimbia ndio maana umekuja huku kutafuta mafundi wasiokujua tabia zako.😅

Sorry mkuu natania tu
Mkuu mafundi wajanja sana,wanaumiza yani kwa skwea mita hawajambo vingereza vingi wakati wengine shule hatujaenda.
 
Huko inbox unakoitiwa kua makini nako. Kuna wachinjaji hawataki kukuchinjia hadharani ili wasijulikane, wanataka wakupeleke vichochoroni ili wakuchinje kimya kimya
Mkuu naenda kwa kunusa,asante kwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom