RC mstaafu, Engineer Robert Gabriel kujiita Local Fundi ni fedheha kwa fani ya uhandisi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,331
24,215
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
 
Sasa Kama boss wake anamdharau na kumdhalilisha na kumshusha vyeo,wakati yeye ni mtaalamu,afanyaje?
Pitisha kombe mwanaharamu apite🙏
 
Huyu anastahili sifa zote, ni mchapa kazi. Kazi kwa mwanaume ni wajibu. Hakuna kazi mbaya au isiyo heshima ila kwa mbumbumbu
 
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Arudishe ERB ,vyeti vya kumtambua kama Engineer, ili halmashari zimtambue kama fundi Maiko.
 
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Hivi, ilikuwa lazima ajiite local fundi ili apate kazi hizo kujenga matofali?
 
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Unajua maana ya Local? Au Ulitaka ajiiteje wewe ili roho yako ifurahi?
 
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Lengo lako ni kumdhalilisha lakini umekosea na hujui lolote.
Sasa hivi miradi yote ya serikali Tamisemi wanaajiriwa local fundi tu kwa kutumia force account.

Hii wanakwepa gharama za kampuni na utaratibu huu aliuanzisha Magufuli.

Serikali inatoa consultants wa mradi kwa ajili ya kusimania na wanakuja na michoro inayoandaliwa na vyuo vya ufundi mfano ATC.

Miradi hii inapesa japo waalimu, maboharia na consultants ndio wanapiga pesa ndefu kuliko walioshinda tenda.

Hivyo hizo kazi zinaombwa na mainjinia na mafundi wa kawaida lakini kisheria na mikataba itakutambua kama local fundi tu haijalishi una elimu kiasi gani

Hivyo unapoomba kazi japo utaambatanisha vyeti vyako vya uinjinia lakini utahesabiwa local fundi.

Unataka afe na njaa kisa injinia?
 
Kusifia ujinga hapo sasa unaingia level ya upumbavu.
Upumbavu kwa maana hii si tusi bali ku ignore stark realities, na kufikiri mambo yataenda sawa tu.

Mbaya zaidi, kurasimisha uozo kiutendaji matokeo yake tumesha anza kuyaona.

Force account sina haja kuielezea mapungufu yake maana tumeongea sana humu mtandaoni.
Matumixi ya Force Account yapo dunia nzima, vile vile sina haja ya kuingia inti details kwa mwelewa.

Suala langu ni mtu ambaye ni proffessional kuingia kufanya kazi ambazo hapaswi kitaalam kufanya.
Kesho tukimkuta akizibua vyoo bado tutamlaumu kwa kufadhehesha uinjinia.
 
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.

Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita

Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.

Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
WAsukuma hamuishi vituko.
 
Back
Top Bottom