fundi

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na solar

    Habari! Kalibun kwa huduma za ufundi umeme na solar, tunafany design za taa mbali mbali za umeme. Tv show case na wirring zote kwa ujumla, tunafunga submitter aina zote. Tuna design taa mbali mbali za solar kam stree light, home lighting system, stand alone system na hudum nyingne za umeme na...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe usajiri wa kiungo fundi mkata umeme sawadogo..

    Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi, Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe? Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro . Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
  4. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Fundi plaster anahitajika Haraka-Site Bunju Dar es salaam

    Asante
  5. saeedinho007

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi mitambo Dar es Salaam

    Habari Wakuu, Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic vizuri hasa upande wa pump. Nipo Dar es Salaam
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  7. kabugira

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  8. houstony

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  9. The Icebreaker

    JamiiForums Tanzania Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  10. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  14. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma ujumbe pm. Dar es Salaam > Kibamba
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Namtafuta fundi Mtaalamu wa kufungua combination lock bila kuvunja

    Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber. Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
  17. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Msaada fundi wa mlango wa Porte Automatic

    Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

    Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza. Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.
  20. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
Back
Top Bottom