fundi

  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Maswala ya fundi kunambia leta Gari tuone ndipo nikupe gharama inakwaza

    Biashara za Mtandaoni bhana zina Changamoto sana, tunajitahidi mno kuendana na Wakati lakini wafanya biashara wengi hawajui kwanini wanafanya biashara na ipi ni namna nzuri ya kufanya biashara na kuvuta wateja. Unakuta unashida ya Kubadilisha taa ya Nyuma, au unataka Plug za Ignition...
  2. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa mitambo viwandani, induction furnaces,overhead na cranesetc

    Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi friji na majiko ya gesi

    Mimi ni fundi friji na majiko ya gas mawasiliano 0696222711
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  7. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Mechanics anatafuka kazi - DAR

    Nina kijana/rafiki Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo) Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...
  8. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

    Nusu waniue leo! Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi! Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies...
  9. BKT

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Habari wana JamiiForums. Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  11. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Je, nimtonye mteja kuwa amepigwa na fundi ama nikae kimya?

    Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu Mifuko 20 Y cement fundi kachukuwa 10 tu Nimeingiwa huruma sana kwani mteja anapigwa mno na ukizingatia...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  13. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji fundi tiles, site ipo mkoa wa Tanga

    Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
  14. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Fundi pikipiki natatuta kazi

    Habari ya uzima. Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM Natengeneza pikipiki za aina zote
  15. Kaka Kapo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi wa Smart Watch.

    Wasalaam Jamani. Nina saa yangu Huawei Smart Watch GT2e imeingia maji inamissbehave naomba anayefahamu fundi wa aina hii ya saa anielekeze.. Asanteni
  16. Richard3

    JamiiForums Tanzania Watani wametuheshimisha Tanzania

    Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango. Hii inanipa picha ngumu na yenye njonjo kwenye mashindano yajayo dhidi ya maasimu hawa wawili ambao makazi yao na historia...
  17. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi pikipiki

    habari wakuu, nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji. ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
  18. kihongwe11

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Je, King'amuzi chako kimepoteza Channel?

    Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/= Matengenezo ndani ya Dar es salaam tu.
Back
Top Bottom