fundi

  1. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi pikipiki

    habari wakuu, nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji. ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
  2. kihongwe11

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, King'amuzi chako kimepoteza Channel?

    Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/= Matengenezo ndani ya Dar es salaam tu.
  5. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

    TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222. Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua. Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi za nyumba naomba kazi

    Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa. Mimi napatikana Dar es...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ajira: Fundi mechanical na Welding wanahitajika

    Nafasi ya kazi fundi mechanical na Fundi welding wanahitajika, sifa kubwa mbili mtu awenazo awe amesomea na awe na cheti na na pia awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani Piga 0766320816 kwa maelewano na maelekezo zaidi
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania FUNDI PAA ,Jitokeze...

    Fundi wa paa,naomba unicheki DM....weka na sample ya kazi zako ...
  9. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania FUNDI MADISH NA UMEME NIPO HAPA(0749247920)

    Fundi umeme na madish aina zote nipo hapa kwa mkoa wa dar napatikana muda wote nipigie simu nakuja popote pale 0749247920
  10. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  11. mossTV

    JamiiForums Tanzania Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu? TV yako inawaka taa nyekundu tu? TV yako haina sauti? TV yako inaonyesha mistali? TV...
  12. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme na madishi na kufunga mapazia

  13. mr.general

    JamiiForums Tanzania Fundi magari apata ajali

    #HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke. Mashuhuda wa ajali hiyo...
  14. Changed ID

    JamiiForums Tanzania Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote

    Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote. TATIZO: Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena. Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa...
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Loud speaker ilinifanya nijue fundi anatoka na jirani yangu

    Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu. Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker, ikiwa ni maongezi ambayo sio nyeti basi waeza kusikiliza ukiwa mbele za watu lkn kama ni mazungumzo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

    Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo huyu ni fundi hasa lakini haheshimiki, hana bahati. Mzamiru Yasin ambaye ni kiungo punda hakabi...
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Fundi moulding(urembo wa nguzo) Mwanza

    WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wastani wa kipato cha mafundi kwa mwezi

    wastani wa kipato cha mafundi katika fani hizi ukoje kwa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha na Dodoma? Fundi simu Fundi wa computer Fundi umeme wa majumbani Fundi wa vifaa vya electronics kiujumla Fundi umeme wa magari
  20. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
Back
Top Bottom