fedha

  1. JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  4. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  5. JamiiForums Tanzania NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  7. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

    Bingwa - $4,000,000 / Shilingi bilioni 10 Mshindi wa pili - $3,000,000 / Shilingi bilioni 7.5 Kuiingia nusu fainali - $1,700,000 / Shilingi bilioni 4.2 Kila timu itayotolewa mwanzoni - $1,000,000 / Shilingi bilioni 2.5 Chanzo ni CAF wenyewe CAF announces Prize Money for the Inaugural...
  8. S

    JamiiForums Tanzania BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

    Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

    Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka 2018, Tigo walitakiwa kumlipa mteja Tsh 1,000,000 kwa kumkata fedha ya huduma ambayo hakuwa amajiunga kwa ridhaa yake

    Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu? Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana! Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  15. JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  16. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR athibitisha kuishiwa Fedha, anahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 4.5

    Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha mji wa Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya. Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Fedha za kujikimu kwa watumishi wapya Kibaha Halmashauri ya Kibaha

    Licha ya Waziri kuagiza fedha za kujikimu zilipwe kwa watumishi wapya kada ya ualimu na afya ya mwezi June 2023, bado hali ni tofauti kwa sisi watumishi wapya wa Kibaha DC. Nauliza, Je ni kupuuzia agizo la Waziri au wanataka wazile hizo fedha na familia zao maana kiufupi wanatuweka kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko aeleza Kilimanjaro ilivyonufaika na fedha za miradi ya maendeleo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO "Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Fedha za Kujikimu za Ajira Mpya zilipwe kabla 30 Oktoba, 2023

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…