Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,101
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?

Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?

Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?

Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
 
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo maskini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?

Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakiongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?

Kuna siku kutakucha
 
Mlevi huwa hakosi hela ya pombe. Bora hela ya chakula isiwepo ila pombe ni muhimu
 
Hiyo ni njia mojawapo ya kuwaonga watumishi wake ili wasiipinge serikali yao.
 
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?

Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?

Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?

Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, wewe ukipewa hesabu kamili ya bajeti na matumizi ya matamasha yaendanayo sambamba na mbio za mwenge wa uhuru tu utashangaa sana.

Achilia mbali matamasha mengine mengi ya hovyo na yasiyokuwa na tija, lakini bado yanapewa kipaumbele kikubwa kitaifa, na kwa makusudi kutengewa bajeti kubwa, wala si kwa kitu chochote kile bali ili kundi la watu fulani wapate ulaji.

Siasa za Kitanzania kupitia utawala wa CCM ni za kihayawani, uendeshaji wa serikali kifahari ni kwa ajili ya ubinafsi wa watawala na watendaji wengine kutaka kujinufaisha wao binafsi kupitia ufisadi, wizi, uongo na hila.
 
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?

Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?

Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?

Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Kuna kitu kinaitwa kazi na dawa, bata batani!. Utafiti umethibitisha ukiwapa watu raha, matamasha, kula bata batani, ku enjoy life, watu wenye raha na furaha wanazalisha zaidi kuliko watu wenye huzuni, shida na matatizo lukuki. Mungu alimuumba binadamu ili apate raha.
P
 
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?

Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?

Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?

Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Hujasema tamasha lipi wala sherehe zipi? Tukujulishe pesa zake zinapatikana wapi.
 
.
20231020_225620.jpg
 
Umesema kweli nchi hii matamasha ya upigaji yamezidi., nilifutilia ziara ya Rais Nzega, tukaonyeshwa sijui mradi wa umwagiliaji na Bashe eti 6bilions hata mama akashangaa bila kuhoji. Maandlizi ya ziara ni makubwa kina Bashe wnatoa wapi hela za kichezea? Haya nimemsikia Mavunde naye anaandaa tamasha la madini Dodoma for what purpose? Hawa ni wapigaji tu.
 
Back
Top Bottom