Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1697006227775.jpeg

Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard Manirakiza, amesema kwasasa Mtuhumiwa ambaye aliteuliwa kuongoza Benki Kuu ya Burundi Agosti 2022, anahojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili hivyo, hawezi kutoa taarifa zaidi kuhusu suala hilo.

Hii ni mara ya pili kwa Burundi kuchukua hatua kama hiyo kwa Magavana wa Benki Kuu ambapo mwaka 2007, ilimkamata Isaac Bizimana, kwa tuhuma za kufanya malipo ya Mamilioni ya Fedha za Fidia kwa kampuni ya Mafuta ya Interpetrol kati ya mwaka 1996 na 2002 kinyume na utaratibu

===========

The governor of Burundi's central bank has been arrested on suspicion of alleged corruption, the justice ministry said Tuesday.

Dieudonne Murengerantwari, who was sacked on Sunday, was accused of "undermining the proper functioning of the national economy, passive corruption, money laundering and misappropriation of public assets," according to a ministry statement.

It was signed by Attorney General Leonard Manirakiza, who said "this characterisation of the facts remains provisional".
The Bank of the Republic of Burundi governor is "undergoing questioning", the statement said, claiming that his rights were being respected.

Murengerantwari was appointed to the post for a five-year term in August 2022.

Since coming to power in 2020, Burundi's President Evariste Ndayishimiye has been hailed for slowly ending years of isolation under his predecessor Pierre Nkurunziza's chaotic and bloody rule.
But he has failed to improve a wretched record on human rights and the country of 12 million people remains one of the poorest on the planet.

BARRONS
 
#HABARI GAVANA wa Benki Kuu nchini Burundi, Murengerantwari Dieudonné na mfanyabiashara Niyonsaba Sylvestre wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kuhatarisha uchumi wa nchi, wizi pamoja na rushwa.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Hakimu Mkuu wan chi hiyo, Manirakiza Leonard, ambapo amesema uchunguzi kuhusiana na madai hayo bado unaendelea. Ni mwaka mmoja tangu gavana huyo mwenye umri wa miaka 38 kukabidhiwa uongozi wa benki kuu ya nchi hiyo.

Tayari Rais wa nchi hiyo, Evariste Ndayishimiye amemteuwa Bigendako Edourd Norma kuongoza benki hiyo.

Hayo yametokea kufuatia IMF imetangaza kuwa uchumi wa Burundi uko pabaya sanaa na kwamba fedha za kigeni ni sawa na asilimia 0.5 na nchi hiyo haina bidha inaozouza nje ya nchi.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
 
Papa huyu huyu aliyebariki mapenzi ya jinsia Moja au yule aliyefariki?
 
Papa huyu huyu aliyebariki mapenzi ya jinsia Moja au yule aliyefariki?
Hawezi na hatawezakamwe uzuri wa kanisa letu siyo one man show. Hata papa akizingua anastaafishwa kwa lazima tofauti na makanisa ya mfukoni kama ya akina baunsa au .wamposa
 
Papa Hana mamlaka ya kuchange chochote kanisa katoliki hayo maraka Hana. Tofauti na makanisa yenu. Pia ujue Kuna mvutano mkali wa anglikan na katoliki ndo mana BBC wanamchafua sana. Kanisa hili limejengwa kwa Msingi wa Kristo ambaye ni mwamba na likajengwa juu ya Petro ambaye ni mwamba na mwamba huo hakuna atakayeutikisa.

Makanisa mengine haya yaliyojengwa juu ya udongo tu bila mizizi yanakuja na kufa kama ya akina TB Joshua, gwajima, mwingira, kakobe(sijui kama hajafa) nk
 
Back
Top Bottom