Fedha za kujikimu kwa watumishi wapya Kibaha Halmashauri ya Kibaha

Ndetanyau

Member
Dec 8, 2012
37
4
Licha ya Waziri kuagiza fedha za kujikimu zilipwe kwa watumishi wapya kada ya ualimu na afya ya mwezi June 2023, bado hali ni tofauti kwa sisi watumishi wapya wa Kibaha DC.

Nauliza, Je ni kupuuzia agizo la Waziri au wanataka wazile hizo fedha na familia zao maana kiufupi wanatuweka kwenye wakati mgumu sana sisi ajira mpya.
 
Back
Top Bottom