fedha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

    Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada.. Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada. Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fedha anazotumia Tulia kwenye kampeni zinatoka wapi?

    Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi. Ni muda mrefu sasa Spika yuko nje ya nchi na jopo lake la wapambe kumuombea kura nchi mbalimbali kwa gharama za nani? .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  5. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuongeza Vyanzo vya Fedha kwa Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa mwandamizi wa rasilimali watu ajipa fedha za mikopo ya wafanyakazi kwa matumizi binafsi

    Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi. Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania laipongeza Serikali kwa kuondoa tozo ya kutuma miamala ya fedha kidijitali

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali. Kuondolewa kwa too hil...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waarabu kuchukuwa fedha zetu za mafuta?

    Kama Waarabu wamepewa Bandari zote, ina maana bomba la mafuta kotoka Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu, fedha watachukuwa Waarabu? Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta? Ikumbukwe bomba la kutoka Uganda lita pump > 240 000 barrels kwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndaani kabisa kutoka Timu ya 'Avic Town Tumeishiwa Fedha FC'

    Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu; 1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie. 2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao. 3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri...
  13. OLS

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukimsilibia Waziri Nchemba atumbuliwe na Rais leo hii tunajisikiaje akiendelea Kuaminiwa na kuwa Waziri wa Fedha tu?

    Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli. Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
  15. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

    Habarini waungwana! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza. Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
  16. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha 2022/23

  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

    "Naipongeza Wizara ya Fedha na Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango na Timu nzima ya Wizara ya Fedha na Mipango, Kamati ya Bajeti, NBS na CAG kwa namna ambavyo wametuletea taarifa muhimu kutuwezesha kujadili hotuba ya bajeti ya mwaka 2023-2024" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika) 👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani 👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Si kila omba omba anao umaskini wa fedha

    Kipindi Luteni Mstaafu, Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kulikuwa na omba omba maarufu, nafikiri aliitwa Matonya, ambaye kila aliporudishwa kwao Dodoma, baada ya muda, alirudi tena jijini. Inasemekana, hakuwa maskini kama ambavyo ingeweza kudhaniwa. Alikuwa anamiliki mali...
  20. son_african_star

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
Back
Top Bottom