Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni: unahisi wahaya wanafeli wapi licha ya wao kuwa miongoni mwa makabila matano makubwa Tanzania na kutamba kwenye Majiji kama Dar na Mwanza kwa Elimu, Pesa pia kuongoza kwa kuvuka Border kwenye Ughaibuni, lakini Kagera inapumulia Oxygen kimaendeleo?
Mhaya wa mjini DR HAYA LAND jibuni hoja hizi pamoja na watu wengine.