Nagusia mifano michache tu.
Maradona ana historia ndefu sana pale Italia hapo kwenye club yake ya Napoli. Baada ya kufa ndio ule uwanja unaotumiwa na club yake ukapewa jina lake, hapo Maradona alifaidika nini?
Ilishindikana nini kupewa hilo jina mfu akiwa hai?
Kuna mifano mingi tu ya...
Zamani haikuruhusiwa binti kuzaa nje ya ndoa. Ikitokea binti amepata ujauzito kabla ya ndoa, wazazi walimlea mpaka anajifungua na akisha jifungua mtoto anatolewa kwenda kuasiliwa.
Wazazi wengine waliwapeleka watoto wao kwenye nyumba za watawa. Kule mabinti walifanya kazi ya kufua nguo, kuanzia...
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa, nikiangalia wale settlers wa Zimbabwean na South Africa waliweka pesa nyingi kwenye kilimo na wanazalisha vyakula kwa wingi. Wakati wa British East Africa, wazungu waliopenda kulima walipewa ardhi lakini kwa masharti ya kuonyesha bank statement inayoonyesha...
Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya.
Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
MUHIMU: PICHA HII SIO YA PAKA WA HAPA KWETU
Hapa kwangu napoishi tuna paka, Sio mimi niliemleta bali ni mke wangu.
Hatuna tatizo la panya kwa hio bado sielewi paka anahitajika wa nini.
Kuna jirani ana fuga ngombe huwa anatuuzia maziwa nyumba chache, Mke wangu alilipia ujazo wa ziada...
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.
Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt.
Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982.
Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982.
Punguzo hilo la thamani linaakisi...
Demokrasia ikitekelezwa ipasavyo husaidia kuleta faida zaidi kwa watu. Hii ni pamoja na:-
Kulinda maslahi ya raia.
Watu hupata nafasi ya kupiga kura juu ya maswala muhimu yanayoathiri nchi yao au wanaweza kuchagua wawakilishi kufanya maamuzi haya.
Kukuza usawa.
Kanuni moja ya demokrasia ni...
Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi?
Tulidhibiti usafirishaji wa mazao ya chakula nje hasa Kenya ambayo inategemea chakula kutoka kwetu, je Hali ya soko la ndani...
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa...
Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116]
Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?
Ndugu Wasomaji,
Mwanadamu siku zote ana tabia ya kuwa mzito kupokea mabadiliko hata yale yenye faida kwake, kwakuwa tu hajazoea mabadiliko hayo. Hofu inamtawala zaidi kuhusu madhara ya mfumo kuliko faida zake. Lakini pia mfumo wowote mpya ili utekelezwe lazima watu fulani waumie ama ni kwa...
Maisha ya biashara na ujasiriamali kila unapoamka inapaswa upashe akili moto kuongeza ile 500 uliyoipata jana leo upate 1000 na kesho kutwa upate 1500 Hiyo ndio inatwa biashara na ujasiriamali.
Leo nataka kuandika kitu kidogo chakufungulia mwaka kuamsha waliolala,na jambo lingine leo nataka...
Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
Habari za mwaka 2021 wadau
Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.