Wenye wazo la ushawishi la kibiashara, karibuni

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,267
2,000
Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na tutagawana faida 60/40. Kama wazo litakuwa zuri sana na baada ya kufanya majaribio na kuthibitisha liko vizuri; tunaweza kuongeza mtaji.

Note:
Wazo lako litakusaidia kukutengenezea ajira ya kuajiriwa, ikiwa wewe ndio utakuwa mtekelezaji chini ya usimamizi wa equation x
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
367
1,000
Kuna mashine X sababu ya kusafisha vitu X na inakuja complete pieces mbili kuunga hiyo kufanya kazi lakini kwa uhakika hatuwezi shindwa kutengeneza 100k-300k per day kwa research yangu provided marketing strategies nzuri nataka kuunga nguvu kwenye ili provided 50/50 share.

Kuhusu ajira tunaweza tengeneza kwq kazi moja up to 3 personal apart from official personal tuanzie hapo kwanza kwa maelezo zaidi tujadiliane, total cost ya machine 2M complete hii ni machine ndogo kwa kubwa ni kichwa kitaitajika which costs around 400k targets itakuwa malls na uwanja makubwa.
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,267
2,000
Wazo linaweza kuwa zuri, lakini linahitaji ushawishi mkubwa ili yeyote atakayeona aweze kushawishika kuwekeza kama mtaji anao. Ni vizuri ukaweka wazi ni mashine ipi,na inahusika na nini,ili kumrahisishia mtu ajipime kama fedha atakayowekeza itapotea au itazaa.
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,271
2,000
Weka hapa hapa mkuu, tulipime

VITINI

100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.

100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.

Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.

300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.

Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs

Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30

I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.

Vitini navyouza hivi hapa

IMG_20210426_204051.jpg

IMG_20210426_204159.jpg
 
View attachment 1765424

View attachment 1765425
Iko vizuri,na inachukua muda gani mzigo kuisha?
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,271
2,000
Kwa kukadiria 500 inaweza kuchukua muda gani mpaka kuisha
Kimsingi mzigo wa kwanza ndio leo siku ya kwanza kwenda sokoni...ila makadairio yangu ya makaratasi vitini 40 shule moja mwezi hauishi vinaisha...so suala sio idadi 500 suala umegawanya shule ngapi kwa hesabu za karatasi unaweza isha ndani ya mwezi ukiugawa shule 10...changamoto management i prefer maximum of 6 schools at once.
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,267
2,000
Kimsingi mzigo wa kwanza ndio leo siku ya kwanza kwenda sokoni...ila makadairio yangu ya makaratasi vitini 40 shule moja mwezi hauishi vinaisha...so suala sio idadi 500 suala umegawanya shule ngapi kwa hesabu za karatasi unaweza isha ndani ya mwezi ukiugawa shule 10...changamoto management i prefer maximum of 6 schools at once.
Ok mkoa gani
 
The MaskmaN

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
226
500
VITINI

100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.

100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.

Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.

300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.

Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs

Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30

I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.

Vitini navyouza hivi hapa

View attachment 1765424

View attachment 1765425
Chief hili jambo likienda sawa,tafadhali nijulishe na mie naweza nikajumuika kidogo hapo
 
Benny96

New Member
Aug 20, 2020
1
45
VITINI

100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.

100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.

Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.

300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.

Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs

Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30

I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.

Vitini navyouza hivi hapa

View attachment 1765424

View attachment 1765425
Brother umetumia hakili sana, usiache kutupa mrejesho.
 
financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
9,751
2,000
Wow biashara nzuri, ila hivo vitini ni vya masomo gani? Ni notes ama questions and answers? Is it for primary or secondary schools? Unawpelekea waalimu wavisambaze ama unasambaza mwenyewe?
 
je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
528
1,000
Kuna mashine X sababu ya kusafisha vitu X na inakuja complete pieces mbili kuunga hiyo kufanya kazi lakini kwa uhakika hatuwezi shindwa kutengeneza 100k-300k per day kwa research yangu provided marketing strategies nzuri nataka kuunga nguvu kwenye ili provided 50/50 share.

Kuhusu ajira tunaweza tengeneza kwq kazi moja up to 3 personal apart from official personal tuanzie hapo kwanza kwa maelezo zaidi tujadiliane, total cost ya machine 2M complete hii ni machine ndogo kwa kubwa ni kichwa kitaitajika which costs around 400k targets itakuwa malls na uwanja makubwa.
Tutafutane tupeane mbinu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom