faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. paul sylvester

    Ni kweli CCM huwa mnaumizana ninyi Kwa ninyi, Mnatoa faida Kwa...

    Nianze Kwa kusema hivi!! Mimi si mwana CCM Ila ni mshabiki wa kutupwa Kwa JPM na Baadhi ya viongozi katika Chama Siasa zangu si za kuwa mwanachama wa Chama Fulani, Ila ni mshabiki wa mtu yeyote makini kutoka Chama chochote cha siasa, sifungwi na Chama chochote kile. Sasa basi, kuna mambo huwa...
  2. S

    Alhamdulillah - WaTanzania tumeanza kuelewa faida ya kupiga kura - CCM ni waongo tunaiondoa

    Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020. Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na...
  3. FrankLutazamba

    Jinsi ya kujitangaza kwa mabenki yetu kama NMB, CRDB, TPC, NBC, DTB, ABSA bank au makampuni kupitia shirika la Posta huku ukivuna faida ya mamilioni..

    Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza. Pili...
  4. Sky Eclat

    Kwa faida ya wengi, Tundu Lissu aandike kitabu kuhusu harakati na changamoto anazopitia katika Uchaguzi huu

    Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu. Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
  5. J

    Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

    Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
  6. Mung Chris

    GE2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

    KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED Na Thadei Ole Mushi Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine. Ratiba yake kwa hizo siku...
  7. Mathayo Fungo

    Maalim Seif Sharif Hamad unataka kutugawa Watanzania kwa faida ya nani?

    “Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar. Kauli hiyo ameitoa sambamba...
  8. Sky Eclat

    GE2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

    "Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM Kama wewe kweli ni Rais wa...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, kuna ubaya endapo baadhi ya shughuli za ‘kiimani’ zinazoingiza mapato na faida kwa wamiliki wake zikasajiliwa na kupewa TIN number pamoja na EFD?

    Biashara ina tafsiri pana sana. Baadhi ya shughuli zinazoitwa za ‘kiimani’ zinashabihiana kwa kiwango cha 100% na shughuli zingine za kibiashara ambazo husajiliwa na kupewa TIN number, leseni ya biashara pamoja na mashine za EFD. Mfano: 1.) Mtu anaponunua maji kwa shs. 500/=, kisha...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Faida za kulala uchi wa mnyama

    HIZI NDIO FAIDA SABA ZA KULALA BILA NGUO KABISA Katika swala la kulala kila mtu hua ana utamaduni wake wa kulala, wengine hua wana mavazi maalumu ya kulalia, na wengine hulala na nguo yeyote tu ambayo hujikuta ameivaa siku hiyo...kitaalamu kulala na nguo sio kuzuri kiafya na kisaikolojia kwani...
  11. J

    Mtazamaji (observer) katika uchaguzi ni nani, ana majukumu gani na yana faida gani kwa nchi?

    Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani? Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi. MAJUKUMU Jukumu kuu la watazamaji ni kutazama matendo na shughuli zinazoendelea katika mchakato wa Uchaguzi na kuhitimisha...
  12. Snowden E

    Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 kutokana na uwekezaji wa mafuta

    Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
  13. MK254

    Huku Watanzania wakichekelea changamoto za SGR ya Kenya, TAZARA waliyopewa kama msaada miaka zaidi ya 40 haijawapa faida yoyote

    Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote. -------------------------...
  14. AsteryBoy

    JE MADINI HAYA YANAWEZA KUWA NA FAIDA?

  15. MK254

    Bamburi, Kampuni ya saruji Kenya yaongeza faida kwa asilimia 82%

    Mwendo ndio huu tu hamna kingine nchi hii. ======= Bamburi cement has posted a Ksh.83 per cent profit growth to Ksh.721 million through the first half of 2020. The near double earnings acceleration is highly attributable to costs containment efforts and gains marked in the period. The firm...
  16. Dam55

    Zitto Kabwe ni faida gani unaipata kwa matamshi haya?

    Kama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko. Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate? Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu...
  17. I AM NO ONE

    Nataka nifanye biashara ya magazeti kisasa, faida yake ikoje?

    Habari wakuu, napenda kujua hii biashara ya magezeti inafanyikaje na faida yake ipoje nataka niifanye kisasa zaidi.
  18. MAHANJU

    GE2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe

    Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya...
  19. Infantry Soldier

    Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  20. J

    Faida 4 Za Kugeuza Bidhaa Au Huduma Unayotoa Kuwa Kampuni Ndogo Na Hatua Rahisi Za Kusajili Kampuni

    Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa kawaida, kama mtaji wako ni kati ya milioni moja mpaka milioni kumi, basi unakuwa na sifa za kuitwa...
Back
Top Bottom