Benki kutangaza imepata faida kwa kuongeza tozo

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,586
4,274
Kuna Benki Maarufu hapa nchini.

Kila ikikaribia kipindi cha kutoa report ya mwaka wao hupandisha kila tozo na kuongeza tozo mpya na hivyo kusomea wadau wake kuwa imepata faida ya mabilioni.

Ningetaraji Benk ifanye biashara na sio kufungua matawi kila meta kadhaa ambayo unaweza kuona tu kwa akili ya kawaida kuwa hayawezi kujiendesha halafu; wanawekea wanachi huo mzigo kwa kupandisha tozo.

Tulizoea mtu akiweka hela Benki anapata faida au walau hela zake zinabaki kiasi kile kile kwani wanazifanyia biashara ILA naona mambo yanabadilika.

Naamini Benki Kuu watalitizama hili.
 
Back
Top Bottom