epl

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Arsenal yashika usikani wa EPL kwa kuifunga Brighton, leo Desemba 17, 2023

    Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga Brentford magoli 2-1. Arsenal imefikisha pointi 39, Aston Villa ikiwa na 38, zote zikiwa zimecheza...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

    Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park. Matokeo hayo yanaifanya Villa kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35 wakati Arsenala ambayo huo ni mchezo wao wa pili kupoteza...
  3. Mbu

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 61,276) - Pitch 105m x 68m Principal Owner: John W. Henry Chairman: Tom Werner Manager: Arne Slot Liverpool Trophies: League...
  4. BRN

    JamiiForums Tanzania Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania EPL: Man. United yashinda kibabe Od Trafford, Arsenal yashikwa na Fulham

    Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham. Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya Premier League, Man United imepata ushindi wa magoli 3-2 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Klabu za Premier League zaonywa kuhusu Wadukuzi kuvamia mifumo ya usajili

    Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo. Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa ninacho kifahamu kuhusu JamiiForums Fantasy League

    Habari, mnamo tar 6/8/2023 nlianzisha uzi huu Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL ambao ulikuwa unahusu haja ya kuanzishwa FPL ya Jamii Forums. Kufuatia uzi huo members mbalimbali walipata muamko wa kuhitaji kupatikana ligi hiyo, wengine walikwenda mbali na kufungua leagues. Jitihada...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Liverpool ni epl tittle contender!

    Niliwapa man city kutetea na Arsenal kuwa challenger mzuri msim Huu 2023/2024,lakin KWA usajili wa moises caicedo KWA pound million 106 kwenda liverpool,sasa majogoo wa jiji liverpool ni team ya kuogopwa na vigogo wote pale epl! Midfield ya caicedo,macalister na Dominic szoboslai ni combination...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL

    Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia. JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia. Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

    Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kocha yupi kati ya hawa alikuvutia zaidi katika EPL?

    Zama huja na kuondoka. Lakini legacy hubaki. Hapa kuna makocha wanne tofauti ambao kwa nyakati tofauti waliongoza vilabu vyao kutwaa mataji kadhaa ya EPL. Kila kocha alikuwa na rekodi zake pamoja na mbinu zake. Ni yupi unamkubali zaidi? 1. Sir Alex Ferguson - Man Utd Huyu ametwaa mataji 13 ya...
  13. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ni maandalizi

    Tuwaandae watoto wetu, ndugu, jamaa na marafiki katika kutimiza ndoto na malengo yao Vinginevyo au basi.
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

    EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani? 1. Pep Guardiola - Man City 2. Mikel Arteta - Arsenal 3. Eddie Howe - Newcastle Utd 4. Roberto De Zerbi - Brighton...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  16. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Ban ya mwaka 1 kama Man City akifungwa na Arsenal leo

    Sina haja ya kusalimia, Kama Manchester City tukifungwa na Arsenal naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja. WE ARE CITIZENS. Moderator Moderator Mkuu @Mexence Melo Active naomba mnizingatie.
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Graham Potter afukuzwa kazi na klabu ya Chelsea

    Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania EPL first eleven

    Tutaje fist eleven ya EPL... 1. Alison 2. Tripier 3. Silva 4. Botman 5. Dias. 6. Caicedo 7. Salah 8. Debrune 9. Halland 10. Kane 11. Ivan Toney... Ukiweza weka na mfumo kama ni 44 2 au 433..nk.
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Weekend bila EPL ni inaboa sana

    Nipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji. Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL. Hii wiki ya International break kwakweli inaboa sana na kuchukiza kwa sisi wapenda kabumbu la EPL. Kwakweli sijawahi kuwa muumini wa...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni aibu na fedheha kwa wanasoka kama Arsenal hii itachukua ubingwa EPL

    Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani. Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5) Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
Back
Top Bottom