Vita ya Israel na Gaza kuikosesha ubingwa liverpool EPL

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,725
29,102
Mzuka wanajamvi.

Vita inayoendelea sasa hivi Gaza kati ya Israeli na Hamas itaikosesha ubingwa wa ligi kuu ya uingereza mpira liverpool.

Liverpool ambayo imeishinda usiku huu Newcastle United kwa magoli 4-2 nakuongoza kwa point 3 mbele ya Aston villa ambayo ni ya pili inahofia sana hii vita ya Gaza kuikosesha ubingwa.

Ukiangalia hali sasa having ilivyo huko Gaza inakuwa ngumu kwa wateule kutofautisha kati ya magaidi na wema na kufanya Israel ichukue tahadhari ya kuleta maafa na hii imemfanya hadi waziri mkuu Netanyahu kuweka wazi vita itachukua miezi kadhaa.

Na vita inayoendelea kuna kikundi kingine cha kigaidi Hezbollah na Houthi wa Yemen yakifadhiliwa na Iran nao wanaingia kwenye hii vita kwa kasi na itapelekea hii vita kuenea ulimwenguni na kupelekea vita ya 3 ya dunia ww3 nakuikosesha liverpool ubingwa EPL.

Chaliifrancisco adriz Saint Anne mkorea
 
Chizi wewe?
 
🤣🤣🤣This is far fetched stretch...umetoka mbali kinoma... sijui unafikiria nini
 
Sisi ni Mabingwa
Janjajanja kina Arts mnaendelea kudunda tu kwenye ardhi ya Mola
 
Itakusaidia nini, upo 2024 una mawazo ya kijinga ,Hao Lpool hata hawakujui pambana na hali yako ndio kwanza mwaka mbichi kaa kwa kutulia.
 
Mkuu unaumia ukiwa wapi? Why are you so much bitter maamaeee😅😅🤣
 
Kwenye Karne ya 21 vita peke ya Dunia ilikuwa ni vita ya UKIMWI, na CORONA na zenyewe zimedunda, hizo vita nyingine zitaendelea kupiganwa kikanda tu, na kutunishiana misuli tu Kwa wababe wa Dunia
 
Back
Top Bottom