EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,578
Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo.

Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
IMG_0007.jpeg
 
Arsenal chama langu lakini hii timu aipo sastainable ligi ya epl.kuna muda inakua uvuguvugu,kuna muda inakua ya moto mwishoni mwa ligi inaganda inapoa kabisa kila mtu anajipigia.

sitamani Man City abebe tena ndoo ingawa anateleza kama anavyoteleza Arsenal. mmoja wapo hizo timu mbili kuna uwezekano akanyanyua makwapa.
 
Mechi kati ya Man city vs Liverpool, Arsenal vs Man city ndio zitaamua bingwa
 
Back
Top Bottom