Kutazama EPL Kwa ZUKU fiber internet

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,905
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?

Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?

Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani?

Hata kupata sky channels moja Kwa moja inawezekana?
 
Inadepend Sana na TV uliyonayo...mimi nina smart TV moja inaitwa SOYI Hiyo ina app nyingi sanaaaaaa za bure na za kulipia , so wewe ni kuinstall tu app zilizopo humo..sijui kwa tv zingine , maana TV zingine hawezi kudownload some app mpaka ufanye some settings au kifaa. Then sasa kama una ZUKU unlimited wifi hapo utasahau mambo ya dstv..
 
Hapo inabidi uwe na app ya Kodi, app hii ipo kwa laptops zinazotumia windows, vifaa vya android kama simu na tv box, n.k.

Hapo kwa urahisi nunua android tv box inayotumia android ( waweza pia tumia laptop au cpu ya dekstop ukaiunga kwa tv )

Install app ya Kodi kutoka playstore

Kwenye hio kodi inabidi uingize addons za channel za michezo kama the loop na mad titans

Jinsi ya kuinstall ingia google, mfano kuingiza the loop utasechi how to install kodi addon the loop
 
Mnhhhh mbona kama mzunguko mkubwa
 
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?

Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?

Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani?

Hata kupata sky channels moja Kwa moja inawezekana?
Una tv gani mkuu? Ni smart tv? Ukinipa model nitapata kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom