epl

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mbio za Ubingwa wa EPL katika uchesi wa video

  2. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Nimegundua EPL ni ushindani wa ndan huku UEFA Kuna watu wake

    Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Msimu ujao Ratiba iwe complex Yani iwe kama EPL tu

    Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi, Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini? Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua zinapewa almost week nzima ya kujiandaa Yani hawachezi hata kombe la FA angalia Kuna Team zimecheza...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Back to EPL campaign: Cancel Soka La Bongo

    Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc) Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire. Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na Yanga kweli kweli. Siku ya mechi basi Dar yote ilikuwa ni njano na nyekundu. Kutokana na...
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arsenal 5-1 Manchester City

    Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya Manchester City katika Ligi Kuu ya England "Premier League" kwenye Uwanja wa Emirates Magoli mengine yamewekwa wavuni na Thomas Partey, Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania AFC Bournemouth (The Cherries) The Special Thread

    Full name: AFC Bournemouth Nickname(s) The Cherries Boscombe Founded: 1899; 126 years ago (1899) (as Boscombe) Ground: Dean Court Owner: Black Knight Football Club UK Limited Chairman: Bill Foley Manager: Andoni Iraola League: Premier League Website: afcb
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

    Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)? Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi 20 mechi ya Mancity na Arsenal ndio ya mwisho.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Burudani ya soka bila EPL

    Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL. Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena. Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester City inazidi kuwanyoosha huko EPL, haya hapa matokeo ya mechi za Agosti 31, 2024

  14. anoldmedia

    JamiiForums Tanzania Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tabiri Top 4 ya EPL kuelekea Msimu mpya wa 2024/25

    Ijumaa ya 16/08/2024 pazia la EPL litafunguliwa kwa mchezo baina ya Man Utd Vs Fulham kule Old Trafford. Kuelekea msimu huu mpya wa 2024/25 tabiri Top Four yako itaishaje mwisho wa msimu. Twende kazi…
  16. J

    JamiiForums Tanzania Owen aitabiria Arsenal ubingwa EPL akiitosa Man United top four

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Michael Owen ametabiri Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao wa 2024/2025 huku akishindwa kuiweka Man United katika orodha ya timu nne zitakazomaliza katioka nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo. Owen ambaye pia...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Real Madrid na Barcelona zashindana kumuwania Trent Alexander-Arnold

    Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25. Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
  18. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Tupia top 4 epl msimu wa 2024/2025

    1.Arsenal 2.Man city 3.Liverpool 4.Chelsea
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ningependa Man Utd first 11 iwe msimu ujao ili tushinde ubingwa EPL

    1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania EPL: Makombe Mawili Yaliyofanana yatapelekwa kwenye Viwanja vya Emirates & Etihad katika michezo ya leo ya kuamua nani awe bingwa

    Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton. Kombe la pili litapelekwa kule Etihad ambapo kutakuwa na mchezo wa Man City Vs West Ham. Sambamba na hayo pia, watapeleka medali 40...
Back
Top Bottom