Sasa ni Rasmi Liverpool ni epl tittle contender!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,538
17,467
Niliwapa man city kutetea na Arsenal kuwa challenger mzuri msim Huu 2023/2024,lakin KWA usajili wa moises caicedo KWA pound million 106 kwenda liverpool,sasa majogoo wa jiji liverpool ni team ya kuogopwa na vigogo wote pale epl!

Midfield ya caicedo,macalister na Dominic szoboslai ni combination kali sana ya pressers tutakayoiona msimu huu!huku jota akiibuka tena KWA ufungaji BAADA ya injury lay off ya kipindi kirefu,akiwa na mkolombia luiz Diaz pamoja na nunez,salah aiseh HATARI sana mjipange wakuu!!

Nadhani foward, engine room na defense vinaenda kuimarika sana naiona Liverpool kama Bingwa mtarajiwa msim huu!

Tusubiri tuone!
 
Caicedo ni blue lia lia, awezi kukataa kuishi London akaishi kwa majogoo...never!
 
Naona dogo kawakataa kuku vishingo amefuata mshahara mnono chelsea..

Liverpool wamekuwa nyuki wa mashineni
 
Namba moja ujaye nchini mbona unakurupuka sana sasa wewe tutakupa nchi kama unakurupuka ivi kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom