EPL: Man. United yashinda kibabe Od Trafford, Arsenal yashikwa na Fulham

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
F4eDnHSXcAAK0aU.jpg
Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham.

Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya Premier League, Man United imepata ushindi wa magoli 3-2 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford wakati Arsenal imepata sare ya magoli 2-2 katika Dimba la Emirates.

Matokeo mengine ya ligi hiyo leo Jumamosi Agosti 26, 2023, AFC Bournemouth 0-2 Tottenham Hotspur, Brentford 1-1 Crystal Palace, Everton 1-1 Wolves.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom