Erling Haaland amecheza dakika 1,745 katika EPL, amekutwa offside mara moja tu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Inaweza kukushangaza kiasi lakini huo ndio uhalisia, licha ya kuongoza kwa kufunga magoli 17 katika Premier League 2023/24 hadi sasa, takwimu zinaonesha Mshambuliaji wa ManchesterCity, Erling Haaland ameotea mara moja tu katika dakika 1,745 alizocheza, anayeongoza kwa kuotea ni Darwin Nunez wa Liverpool aliyeotea mara 20.

1. Darwin Nunez 20

2. Nicolas Jackson 19

3. Son Heung-Min 16

4. Jarrod Bowen 15

5. Rasmus Hojlund 13

6. Gabriel Jesus 11

7. Dominic Solanke 11

8. Bruno Fernades 10

9. Raheem Sterling 10

10. Erling Haaland 1
 
Nje ya EPL nahisi na Mbappe atakuwa na offside chache sana

Nahisi Jamaa wanakimbia mikono ikiwa chini maana kiungo kinachowaangusha mastriker walio wengi kwenye suala la offside ni mikono
 
Back
Top Bottom