Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE.
Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
Ligi Kuu ya England itaendelea leo kwa mchezo kati ya West Ham na Chelsea majira ya saa 4:00 usiku (EAT), ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili kati ya raundi 38 zinazotarajiwa kuchezwa msimu huu.
Katika raundi ya kwanza:
Chelsea walitoka sare ya bila kufungana (0-0) dhidi ya Crystal Palace.
West...
BINGWA: liverpool
MFUNGAJI BORA: halaand
GK BORA: donnaruma
YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko
MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer
TOP SIX:
liverpool
Man city
Arsenal
Man Utd
Chelsea
Tottenham
Kuelekea msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani EPL pale Uingereza inayo tarajia kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa tarehe 15, Agosti 2025 hii ndio top 4 yangu.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Man City
Tipia na yako tuone, karibu.
Zikiwa zimesalia siku chache kurejea kwa ligi mbalimbali duniani, joto la soka linazidi kupanda. Mitandao inachafuka, pesa inamwagika, tambo zinatembea – lakini mwisho wa siku ni uwanjani tu ndipo ukweli utaandikwa!
Huko England, usajili umekuwa wa moto wa jiwe! Kuna wanaonunua kwa bei ya...
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:-
Frimpong
Kerkez
Wirtz
Ekitike
Msimu...
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana.
Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26.
Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL.
Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game.
Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka kwa #Fulham
Michezo minchine, Brentford imeishika shati Chelsea katika matokeo ya 0-0 wakati...
Mwenendo wa timu ya Astonvilla kupata alamu tatu kwa michezo sita mfululizo umenishitua sana na kuvutiwa na mipango mipya ya klabu hiyo toka dirisha dogo.
Je ni homa au mikakati thabiti
Nchini Uingereza, mkataba wa hivi majuzi zaidi wa haki za TV za ndani, unaoanzia msimu wa 2025-26 na kuendelea kwa miaka minne, una thamani ya £6.7 bilioni. Hii inafikia takribani pauni bilioni 1.675 kwa mwaka.
Ulimwenguni, mfano mkataba wa NBC nchini Marekani wa 2022-2028 unaripotiwa kuwa na...
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi,
Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini?
Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua zinapewa almost week nzima ya kujiandaa Yani hawachezi hata kombe la FA angalia Kuna Team zimecheza...
Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc)
Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire.
Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na Yanga kweli kweli.
Siku ya mechi basi Dar yote ilikuwa ni njano na nyekundu.
Kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.