epl

  1. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wazungu: "Samatta si mchezaji wa EPL", wamfananisha na panya

    Baadhi ya shabiki wa 'kilabu' ya mpira wa miguu ya Aston Villa wameshikwa na hasira baada ya kupata habari kuna uwezekano wa mshambuliaji wa timu yao Mbwana Samatta kwenda kujiunga na timu ya Galatasaray ya Uturuki mwishoni mwa msimu 2019/2020. Walirusha ujumbe wa kejeli na dharau kwenye kurasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya Aston Villa kusalia EPL yafufuka.

    Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu. Nafasi ya:- 16.Westham -37 pts 17.Aston Villa-34 pts 18.Watford-34 pts 19.Bournemouth-31 pts 20.Norwich-21 pts Sasa mechi za kufunga msimu ni:- Arsenal vs Watford Westham vs Aston Villa Je, Watford atamfunga...
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

    Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning. City were...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

    Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao. Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280...
  5. Prof young bernie

    JamiiForums Tanzania Liverpool kuchukua ubingwa EPL, pongezi zangu nazielekeza kwa Kloop

    Wanajamvi, msimu huu team ya Liverpool imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza baada ya miaka 30 na ni mara ya kwanza tangia ligi hiyo ianzishe kwa namna tofauti kidogo na ilivyokuwa mwanzo. Nimejaribu kutafakari ni yupi anastahili sifa katika hili nimeona si mwingine ni mwanaume wa Kijerumani...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubangu: Usiposhangilia Liverpool FC kuchukua ubingwa wa EPL 2019-2020 unaweza kushitakiwa kwa utovu wa nidhamu

    Kanali mstaafu wa jeshi la mashabiki wa soka duniani anasema mashabiki wote wa mpira wa miguu duniani wasiposhangilia pamoja na shabiki wa Liverpool FC kwa kushinda taji la ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza la msimu wa 2019/2020 unaweza kushitakiwa na kuhukumiwa adhabu ya kutoshangilia timu...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania TFF na BMT mpo serious kweli? Hivi Kagere na Morrison wanaliuaje Soka letu?

    Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao. Cha muhimu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya EPL kukutana leo

    Leo majira ya 13:30 Kwa muda wa huku kwetu, vilabu vya Ligi Kuu ya uingereza vinatarajia kufanya kikao kingne kwa njia ya video. Huu ni mwendelezo wa vikao vngne ambavyo vimefanyika huko nyuma. Miongoni mwa vitu vitakavyo jadiliwa ni pamoja na namna ya kuumaliza msimu wa ligi wa mwaka...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Huenda Liverpool ikakosa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu kwa Mafuriko yanayoendelea huko Uingereza

    Mzuqa wanajamvi, Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30. Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
  10. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge. Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto. Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Haka kademu kaliobeba Kombe la EPL 2019 kukabidhi Mancity ni mrembo balaa

    Mzuqa wanajf. Haki ya nani katamu halafu kanavutia balaa. Penda sana totoz dizaini hii.
  12. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Magoli mazuri ya EPL

    Wadau nimejaribu kufikiri hivi haya magoli yaliyofungwa misimu ya nyuma naona leo kile king'amuzi kingekitaa kabisa maana ni hatareee kama sio balaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Eti liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/20? (msijidanganye)

    ,[emoji120]
  14. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa Livarpool inabebwa ichukue ubingwa wapo kimya week hii!

    Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa. Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea). Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni ipi ligi bora kati ya La Liga na EPL?

    Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha both things. Ligi ya Uingereza ni ligi ya ushindani lakini si bora, ukiangalia team kama Man U na...
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

    Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
  17. lembu

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

    Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
Back
Top Bottom