epl

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Air Manula anaweza kudaka timu yeyote EPL

    Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika. Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target. Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania . ✍Aliyecheza Kwa mafanikio Makubwa na klabu hiyo Kipa bora Wa...
  2. Masamila

    JamiiForums Tanzania Chelsea ndio bingwa EPL 2021/2022

    Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022 Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

    Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

    Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City . leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Mzuka wanajamvi! Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi. Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku. Kwa...
  6. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

    Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati. 1. Chelsea FC 2. Man City 3. Leicester City 4. Man United Tupia na yako
  7. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania EPL ndiyo ligi bora duniani

    Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni wakimpelekea mpira yule Njiti wa Rosario Argentina Aufanye mpira Anavyotaka , awanyanyapae Mabeki na...
  8. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Ulaya: Je, timu za EPL kukutana fainali?

    Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
  9. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Chelsea kumrejesha Lukaku EPL

    Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji Erling Braut Haaland,20, wa Borussia Dortmund (Calciomercato-in Italian) Tottenham watajaribu...
  10. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania EPL: Everton yaifunga Liverpool Anfield baada ya miaka 21

    Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0. N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye michezo mitano, Chelsea hii leo imeambulia alama 1 baada ya mchezo wake dhidi ya Southampton kumalizika...
  11. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania EPL : Je, Southampton atachomoka kwa Chelsea? Liverpool uso kwa uso na Everton

    Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena dimbani kupepetana na Chelsea The Blues itakayokuwa ugenini leo imepewa imani kubwa ya kushinda mchezo...
  12. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania EPL: Everton uso kwa uso na City huko Goodson Park

    Ligi kuu soka England kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza utapigwa saa 3 usiku ukiikutanisha Burley dhidi ya Fulham katika Dimba la Turf Moor. Baada ya kuiadhibu Crystal palace bao 3-0 weekend iliyopita Burnley anakuja kukutana na Fulham ambaye naye alimtandika Everton...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top 10 yangu ya EPL goalscorers 2020/21

    1.Dominic calvert-Lewing (Everton)-30+ 2.Piere Aubameyang (Arsenal)-25+ 3.Mo salah (Liverpool)-25+ 4.Harry Kane (Totnaham)-25+ 5.Marcos rashfod -(Man u)-22+ 6.Dan ings (soton)-20+ 7.Vardy Leicester- 20+ 8.Bale (Totnaham)-20+ 9.Aguero 10.samata/lacazete/martial/Son Unaonaje hapo na wewe toa...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Marefa wa VPL vs EPL, njoo tuwapime

    Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR. Tuanze na 1. Yupi refa bora Tanzania na England pia 2. Yupi...
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

    Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson Mzungu mwingereza. Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu. Leo hadi mwandishi mmoja kaenda. Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo. Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure...
  16. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO". nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae chukuliwa kama 50 cent wakati ana hadhi ya 20% zimepita siku sabini toka niandike yale na nilipingwa sana na...
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wazungu: "Samatta si mchezaji wa EPL", wamfananisha na panya

    Baadhi ya shabiki wa 'kilabu' ya mpira wa miguu ya Aston Villa wameshikwa na hasira baada ya kupata habari kuna uwezekano wa mshambuliaji wa timu yao Mbwana Samatta kwenda kujiunga na timu ya Galatasaray ya Uturuki mwishoni mwa msimu 2019/2020. Walirusha ujumbe wa kejeli na dharau kwenye kurasa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya Aston Villa kusalia EPL yafufuka.

    Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu. Nafasi ya:- 16.Westham -37 pts 17.Aston Villa-34 pts 18.Watford-34 pts 19.Bournemouth-31 pts 20.Norwich-21 pts Sasa mechi za kufunga msimu ni:- Arsenal vs Watford Westham vs Aston Villa Je, Watford atamfunga...
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

    Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning. City were...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

    Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao. Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280...
Back
Top Bottom