elimu

  1. JamiiForums Tanzania Afisa elimu ashtakiwa wizi fedha za madawati

    Imeelezwa kuwa fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kununua madawati. Akizungumza na Nipashe, Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Sosthenes Kibwengo, alisema Ndabazi alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na alitenda kosa hilo akiwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mpwayungu Wilaya ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa elimu

    Wadau naombeni kuelimishwa. Binti yangu kamaliza Form Four kapata Div 1 ya point 10. Alifanya masomo ya biashara na kafaulu vizuri katika masomo husika. Safari yake ya maisha anataka kuja kuwa Diplomat. Je ni combination gani asome A-level ambayo itakuwa na mchango katika safari yake?
  3. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

    Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu. Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
  4. JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislamu na usawa kwa Mwanaume na Mwanamke: Haki ya Mwanamke katika Elimu | Haki ya kutafuta Elimu

    Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)" Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni hatari kama Taifa kuwa na mfumo wa elimu usiojali. Tutafakari,tujipange

    Naandika haya kama Mtanzania Mzalendo ambaye ninaamini kabisa kwamba Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe na kwa faida za Watanzania wenyewe. Ninatambua kwamba katika hili la elimu kunaweza kuwa na mambo mengi sana ila tukubali tukatae "ELIMU YETU INA MATATIZO MAKUBWA SANA" Baadhi ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye mfumo bora wa Elimu

    Jana nimesoma kwenye Youtube ikitaja nchi kumi bora katika Afrika zenye mifumo bora ya elimu. Nchi zenyewe ni kama ifuatavyo ikianzia na namba 10. Namibia 9. Egypt 8.Cape Verde 7.Kenya 6.Botswana 5.Algeria 4.South Africa 3. Mauritius 2. Tunisia 1.Sychelles. Naona Tanzania hatumo.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea msaada kutoka Sweden ili kuboresha sekta ya elimu

    Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE. Akizungumzia msaada huo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wizara ya fedha na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho, Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

    Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
  10. JamiiForums Tanzania Muzungu aliachia kwenye Elimu ya Sekondari hakuendelea, tumebakia hapo hapo, ranking ni Ujinga!

    Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora...
  11. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Profesa Kapuya alipokuwa Waziri wa Elimu na fomu za kujiunga Msalato sekondari

    Kazi ya waziri wa Elimu ni kuwa Mbunifu Tanzania ilipata waziri wa elimu Profesa Juma Kapuya . Aliposhika uwaziri ubunifu aliobuni ni wa kutaka shule zote za msingi na sekondari za Serikali watoto wa kike wawe wanavaa kiislamu kwa kuvaa vile vifunika uso na akaagiza walimu wakuu wasimamie hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu bure, watoto wa wanyonge wakataliwa kuandikishwa shule huko Makambako.

    Kengele imepigwa, muhula umeanza vituko vya zima moto kwenye elimu za watoto wa wanaoitwa masikini navyo vimeanza. ni viroja alimuradi kura zipatikane hata kwa kukwiba hapo 2020. kuna ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo ya sekondary lakini hawajulikani walipo, sijui taarifa za...
  13. JamiiForums Tanzania Hali ya vyoo katika shule za Kibasila wilayani Temeke

    Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
  14. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya umiliki wa Kampuni na Hisa

    Kwenye hoja yoyote Kuna aina tatu ya audience Kuna prisoners, graduate na holdermaker. Graduate ni aina ya watu ambao wanajifanya wanajua kila kitu wakati vingine hawajui ukimpempeleka kwenye soka yeye anakuwa kocha ingawa taaluma ya ukocha hana, ukija kwenye siasa anajifanya anaijua siasa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi bado hatuoni haja ya kuwafundisha Watoto wetu elimu ya uzazi/viungo vyao vya uzazi tangu utotoni?

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi. Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k. Hapa huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu ya usawa wa kijinsia bado inahitajika Afrika

    Gender ni jinsia ya kike na kiume. Afrika mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa katika famila tangu akiwa mdogo. Mfano tu mama kunyanyaswa na mumewe kwakua hana mtoto wa kiume. Kuna familia unakuta wamezaliwa mabinti na wavulana. Imetokea mabinti ndiyo wenye uwezo wa pesa, watasaidia uchumi wa...
  17. JamiiForums Tanzania MAMA NA MAISHAHISTORIA YA UKWELI KABISA SOMA UPATE ELIMU

    Mama ni Maisha. Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7. Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.! Uyo Mama alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa zaidi ya miaka 11, ikafika wakat akakata tamaa kabisa yakuja kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kuwaambia vijana wajiajiri inawakera sana

    HII KAULI YA KUWAAMBIA VIJANA WAJIAJIRI INAWAKERA SANA. Na Thadei Ole Mushi. Mzee Mangula Shikamoo!!! Mwenye number ya Mzee Mangula Mpeni huu Ujumbe wa kutaka vijana wajiajiri. Mwambieni kuwa:- Kiongozi anayepokea Mshahara kila Mwezi, Posho kila Siku, anawekewa mafuta ya gari, analipiwa...
  19. JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies. Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…