Muzungu aliachia kwenye Elimu ya Sekondari hakuendelea, tumebakia hapo hapo, ranking ni Ujinga!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,264
2,000
Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?

Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.

Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.

Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,594

Ama kweli; hata saa mbovu kuna wakati huonyesha majira sahihi.
 
luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,121

Watu waliopata div zero utawajua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtima nyongo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,946

Kuna kipindi akili yako huwa inarudi,ila peleka ushauri huu kwa polepole,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,366
2,000
Mbona ni kama hamna tatizo kwani kuna ubaya gani kutangaza mwanafunzi Fulani kawa wa kwanza kitaifa? Ni namna tu ya kuwapa morale vijana ila na wenyewe watamani kufanya vizuri na kutangazwa alafu hivyo vitu haviishi tu secondary ngazi zote za elimu wana utaratibu wao kuwatambua wale wote waliofanya vizuri..
 
fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,161

Nikiwa mdau wa Elimu leo umenikosha kwa hoja mujarabu naomba isiingizwe siasa tuuu
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,671
2,000
Barbarosa uko vizuri sana na nadhani tutoke kwenye kusheherekea matokeo ya sekondari na tuwekeze kwenye elimu za vyuo, vyuo vyetu viwe bora, viatabu, pesa za research.

Nchi kama Misri primary watoto wanaanza kujifunza research zinazoendana na mitaala ya primary.

Kwa ufupi tuache maneno tuweke pesa kwenye elimu na hakika tutapata wanafunzi,walimu, mafundi bora zaidi mpaka vyuo bora.

Chuo kama University of Capetown Alumni tu wanatoa michango kuendeleza research na matumizi mbalimbali ya kuboresha elimu. Hivi hapa kwetu Alumni wa Udsm wanarudisha kweli au ndio kila mtu hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,579
2,000
Elimu ya Tanzania ni ya hovyo sana.

Elimu iko based on rankings, elimu imepoteza maana, sasaimekua ni mashindano.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
6,954
2,000
Mbona ni kama hamna tatizo kwani kuna ubaya gani kutangaza mwanafunzi Fulani kawa wa kwanza kitaifa? Ni namna tu ya kuwapa morale vijana ila na wenyewe watamani kufanya vizuri na kutangazwa alafu hivyo vitu haviishi tu secondary ngazi zote za elimu wana utaratibu wao kuwatambua wale wote waliofanya vizuri..
Kwamba mtoto anaonesha kuwa na kipaji maalum, nchi inaishia kutaja jina tu, hakuna mkakati kwa mfano kumpeleka nje asomee taaluma fulani na baadae arudi apewe ajira kulisaidia taifa. Unaona hakuna tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,366
2,000
Kwamba mtoto anaonesha kuwa na kipaji maalum, nchi inaishia kutaja jina tu, hakuna mkakati kwa mfano kumpeleka nje asomee taaluma fulani na baadae arudi apewe ajira kulisaidia taifa. Unaona hakuna tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo taalamu mbona hata bongoland zinapatikana na si kweli kuwa hamna mikakati maalamu inayofanya na serikali kwa wale waliofanya vizuri zaidi ni wewe tu hauna interest ya kufuatilia nini kinaendelea baada ya matokeo kutoka.
 
Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
4,931
2,000
Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?

Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.

Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.

Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
Siyo kweli. Mfano, Norway huwa wanaandika kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi bora mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari kila mwaka pamoja na shule walizofuzu. Na ni muhimu pia kwa wanafunzi wanaofuata na wazazi wao kufahamu shule zipi zinaongoza kwa manufaa yao wenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom