MAMA NA MAISHAHISTORIA YA UKWELI KABISA SOMA UPATE ELIMU

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
MAMA NA MAISHA.jpg


Mama ni Maisha.
Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7.
Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.!
Uyo Mama alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa zaidi ya miaka 11, ikafika wakat akakata tamaa kabisa yakuja kupata mtoto maishani mwake, lakini hakuchoka kumuomba MUNGU kila kukicha. Alimlilia MUNGU kuwa kabla ya mwaka 2020 awe kamtendea muujiza wa maombi yake namna yoyote awezavyo.
Kweli alipata ujauzito ambao ata ivyo ulikuwa na matatizo sana lakini alizidi kumsihi MUNGU amuokoe Mtoto wake.
Akiwa kwenye chumba cha operation madaktar walisema ana machaguo mawili tu, asaidie maisha yake yeye au ya Mtoto.
Lakini Mama uyo akasema;
"Naomba msaidieni Mtoto"
Basi madaktari wakafanya kama alivyotaka yeye, na operation ilichua takribani masaa 7, madaktari wakijaribu kuokoa maisha ya wore wawili, lakini ilishindikana.!
Mwisho madaktari wakaamua kufanya walicho ambiwa na uyo Mama, wakamsaidia mtoto tu.
Baada ya hapo Mama uyo akiwa yupo na hali mbaya akamsogeza Mtoto wake, akambusu shingoni huku akitabasamu kwa kusikia sauti ya Mtoto wake akilia, akaanza kutokwa na machozi ya furaha na maumivu kisha akafumba macho yake nakuaga dunia.
Mtoto alilia ili hali akiwa hajui chochote, kuwa maisha yake yote ataishi bila kumuona Mama yake mpendwa wake.
Maelfu ya Mama zenu upoteza maisha kila mwaka, wakati wakijaribu kutuleta duniani kuishi.
JE; NI NANI WAKUFANANA NA MAMA YAKO?
Anayejua thamani ya Mama yake, andika jina la Mama yako, kisha malizia na neno:
HAKUNA KAMA WEWE.
Kama ulikuwa na chuki na Mama yako, basi mtafute sasaivi muombe msamaha. Kama yupo Facebook mtag kisha muombe msamaha. Mama ni Mama ata akiwa.
KIZIWI
MLEVI
MLEMAVU
KIPOFU
MASKINI
HANA ELIMU
MCHAFU
MZEE
N.K
Aisee Mama ni zaidi ya dhaabu na alimasi.
Share kadri uwezavyo ili imfikie mwenye chuki na Mama yake popote alipo.
 
Stori imesisimua kweli

Baba nae mzuri jamani,hakuna kama baba na mama
 
Back
Top Bottom