Sales and Marketing Skills: Hii ndio elimu ya juu kabisa kila mwanachuo anatakiwa kuifahamu bila kujali kozi aliyosoma hata akisahau mengine yote

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni.

Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV.

Tujitahidi
 
Back
Top Bottom