OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,164
103,620
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.

Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.

Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:

EkQzpdWXYAAIrKF.jpeg
EkQzpBLWoAAGQ5P.jpeg

Mungu mbariki Mwalimu Nyerere,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki USA

PIA SOMA
= > Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa
 
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.

Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.

Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:

“Maendeleo ni watu, si vitu” – Julius Nyerere

Link:
09809876.jpg
543290.jpg
 
Kwani hivyo vitu vya kimaendeleo vinajengwa kwaajili ya ndege na wanyama au!??

Kama Unajenga vituo vya Afya kwa wingi, unaboresha mahospitali, Unajenga miundombinu ya barabara reli na anga, Unajenga shule, kujenga na kuboresha mifumo ya usambazaji umeme na vngne kedekede,,,, Je hivi vitu vyote si vinagusa maisha ya wananchi kwa namna moja au nyingne na kuleta unafuu mkubwa ktk maisha yetu.

Hawa hawa Wamarekani kupitia USaid si wana TANGAZO lao lina trend kwenye media kuhusu kampeni ya mwanamke apatapo ujauzito awahi clinic,,,, sasa kama hakuna uboreshaji wa vituo vya Afya maeneo mbalimbali nchini hao wanawake wakahudhuria clinic za New York au!????

Nawasihi Watanzania wenzangu, Mungu katupa akili na ufahamu,,, tusitetereke

Mungu ibariki Tz
 
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.

Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.

Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:
View attachment 1599440View attachment 1599441

Mungu mbariki Mwalimu Nyerere,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki USA
Hahaha wabomoe magorofa na matren huko kwao, ndo tuone wako siliaz
 
Kwani hivyo vitu vya kimaendeleo vinajengwa kwaajili ya ndege na wanyama au!??

Kama Unajenga vituo vya Afya kwa wingi, unaboresha mahospitali, Unajenga miundombinu ya barabara reli na anga, Unajenga shule, kujenga na kuboresha mifumo ya usambazaji umeme na vngne kedekede,,,, Je hivi vitu vyote si vinagusa maisha ya wananchi kwa namna moja au nyingne na kuleta unafuu mkubwa ktk maisha yetu.

Hawa hawa Wamarekani kupitia USaid si wana TANGAZO lao lina trend kwenye media kuhusu kampeni ya mwanamke apatapo ujauzito awahi clinic,,,, sasa kama hakuna uboreshaji wa vituo vya Afya maeneo mbalimbali nchini hao wanawake wakahudhuria clinic za New York au!????

Nawasihi Watanzania wenzangu, Mungu katupa akili na ufahamu,,, tusitetereke

Mungu ibariki Tz
kwani wewe unaposikia maendeleo ya watu unaelewa nini? usijekuwa US inakuunga mkono ila kwa kuwa uelewa wako ni mdogo basi unawaka. maana nyie CCM kwa kunishtukia.

Kwa akili yako US inaweza kuwa inaamini umeme,afya, shule sio maendeleo ya watu?
 
Kama kuna kitu ambacho Lissu amepatia ni kutumia falsafa ya Nyerere kama sehemu ya kampeni yake. Hapo amecheza kama Messi.

CCM hakifanani kabisa tena na chama alichokianzisha Nyerere. Wameachana na misingi yote ambayo walikuwa wanaisimamia. Nikitumia maneno ya Kolimba, kimepoteza dira.
 
Kuna watu watanuna,utadhani hio kauli wametunga Ubalozi kumbe wamemnukuu Baba wa taifa,

Maendeleo ya watu ndio muhimu,Ujenzi upo tu ndio maana mvua za jana Dar zimetuonyesha kwamba miundombinu bado sana,hatuwezi kuwasubirisha watu kisa vitu
 
Back
Top Bottom