Siku ya Mwalimu Duniani: Janga la CoronaVirus laongeza changamoto zaidi kwenye sekta ya Elimu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 5 na iliasisiwa na Shirika la Kimataifa la UNESCO kwa kushirikiana na UNICEF na ILO. Siku hii inaadhimishwa huku sekta ya elimu ikiwa imeathirika pakubwa kutokana na janga la #CoronaVirus

Katika nchi nyingi ni siku ambayo watu hutambua kazi za Walimu na hutumika kuwapa heshima kwa kutambua mchango wao katika Jamii. Kila nchi huwa na namna yake ya kuadhimisha siku hii mfano katika nchini Afghanistan siku hii shule zote hufungwa

Kwa upande wa Tanzania, Walimu bado wanapitia changamoto nyingi ikiwemo maslahi madogo, miundombinu isiyokidhi mahitaji ya wanafunzi ikiwemo madarasa na vifaa vya kusomea pamoja na idadi kubwa ya wanafunzi isiyolingana na idadi ya Walimu

PIA SOMA
= > Risala ya walimu katika siku ya walimu kwa waziri mkuu


============

In 2020, World Teachers’ Day will celebrate teachers with the theme “Teachers: Leading in crisis, reimagining the future”. The day provides the occasion to celebrate the teaching profession worldwide, take stock of achievements, and draw attention to the voices of teachers, who are at the heart of efforts to attain the global education target of leaving no one behind.

The COVID-19 pandemic has significantly added to the challenges faced by already over-extended education systems throughout the world. It is no exaggeration to say that the world is at a crossroads and, now more than ever, we must work with teachers to protect the right to education and guide it into the unfolding landscape brought about by the pandemic.

The issue of teacher leadership in relation to crisis responses is not just timely, but critical in terms of the contributions teachers have made to provide remote learning, support vulnerable populations, re-open schools, and ensure that learning gaps have been mitigated. The discussions surrounding WTD will also address the role of teachers in building resilience and shaping the future of education and the teaching profession.

This year, in view of the current situation, the celebrations will take place online. As well as the World Teachers' Day Opening Ceremony and UNESCO-Hamdan Prize Awards Ceremony on 5 October, and the Closing Ceremony on 12 October, there will be a series of national, regional and global events throughout the week.
 
Back
Top Bottom