elimu

  1. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Astashahada ya ualimu elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu Sekondari mwaka wa masomo 2021/2022

    KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali wanatakiwa kujisajili na kufanya maombi kielektroniki kupitia tovuti...
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la Bodi ya mkopo wa elimu ya juu SMT na SMZ

    Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu hivi vifaa vya kukuza screen ya simu

    Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
  6. mkulungwa03

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure ya ndoa: Kama umeoa au umeolewa pitia hapa

    Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu. 1,👉Pesa 2,👉Akili 3,👉Umri Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano. 1,👉Subira 2,👉Usafi 3,👉Mipango 4,👉Upendo 5,👉Nguvu ya maombi Ili mdumu mnatakiwa kufanana kwenye vitu hivi. 1,👉maelewano 2,👉uvumilivu 3,👉heshima
  7. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujumuishwa kwenye mitaala ya elimu nchini

    Niwieni Radhi, mada ni: Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini. Nawasilisha. Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wengi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hawaijui katiba yao na wengine ata kuwa nayo...
  8. Tonydigital

    JamiiForums Tanzania Oliver N’Goma: Muziki Burudani na Elimu (Ujumbe)

    Habari za muda huu wadau? Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaopata ufaulu wa juu na kupata nafasi ya kusoma shule binafsi wanakuwa wahanga katika ufadhili wa elimu ya juu

    Sophia binti wa miaka 16 alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwa point 17 katika ufaulu wake wa shule ya upili. Baba yake Sophia ni dereva serikalini na mama anafanya biashara ya chakula. Nyumbani wamezaliwa watoto watano na Sophia ni watatu kuzaliwa. Nyumbani waliishi maisha ya kawaida...
  10. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sera ya Vyuo Vikuu kubakiza wahitimu wenye ufaulu wa juu badala ya kuajiri wasomi walio- practice unaathri ubora wa elimu inayotolewa vyuoni

    Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao hawaja-practice katika field wanazofundisha na hivyo kuzalisha wasomi wenye kukosa maarifa na uzoefu...
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli elimu ya Tanzania ndio tatizo?

    - Nmekutana na hizi mada sana haswa kwa vijana, kila swali utakalomuuliza kwann hajipush mwenyewe atasema elimu ya tanzania ndo imetuandaa kuajiriwa, lakini nikikaa nkiwaza vizuri na nkirelate na nchi ambazo nmeshatembelea naona kote duniani ni vile vile. - Kibaya zaidi nawajua watu wengi ambao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  14. musa yasini

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa wazi kwa Wizara ya Elimu na NECTA

    Hili lifike mahala husika.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa elimu: Watoto wa viongozi wanasoma shule hizi za umma?

    Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni hizi, 1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

    Habari zenu jamiiforums Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental? ========== Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tukikubaliana na dhana za kuikejeli elimu kisa Profesa Muhongo kakejeliwa tutapotea kama Taifa

    Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni. Naona kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Ni kweli nakubali kuwa kusoma ( kuelimika ) sana siyo Kutusua ( Kufanikiwa ) Kimaisha kwani kama ingekuwa hivyo basi Mimi Generalist nisingekuwa na Maisha haya Duni ( ya Dhiki ) niliyonayo sasa kwa Elimu yangu hii ya haka ' tudigrii ' kangu Kamoja tu ninakokamiliki huu mwaka wa 12 sasa. Lakini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

    1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
Back
Top Bottom