Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Habari zenu jamiiforums

Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?
==========
asdeddddc.jpg

Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?
==========
asdfggggggfde.jpg

==========
fgr (7).jpg

==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Hao wote Mkuu... Registrar MALISA... Rais wa wanafunzi JOHN MAZANDA... Walimu wa Computer akina ALMAS, LIECHUKA, KAVUTA, MSWAHILI et al

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kulikuwaga na mwalimu wa DS alikuwa anaitwa Charles. Alikuwa mcheshi sana ila kwa bahati mbaya alikufa.

Mazanda nilikuwa simkubali saaana kwa maana nilipokuwa pale sikuwa ninajihusisha kabisa na siasa. Nilikuwa ninapenda zaidi UEFA.
 
Back
Top Bottom