Ushauri wa wazi kwa Wizara ya Elimu na NECTA

musa yasini

Member
Dec 15, 2020
28
36
Hili lifike mahala husika.
 
Attachments

  • MAPUNGUFU,CHANGAMOTO, MAPENDEKEZO-UFAULU WA ENGLISH.pdf
    137.9 KB · Views: 23
Pia somo la historia lisianzishwe. Maana alotaka liwepo hayupo na halina manufaa
 
Pia Necta itoe selection form five na form one mapema, hivi muda wote huo mnafanya nini? Mnakuja kutoa selection bado wiki mbili shule kufunguliwa.
 
Pia Necta itoe selection form five na form one mapema, hivi muda wote huo mnafanya nini? Mnakuja kutoa selection bado wiki mbili shule kufunguliwa.
Usilaumu usichokijua, necta wanafanya kazi mpaka usiku kwa kweli ukiwalaumu huwatendei haki
 
Usilaumu usichokijua, necta wanafanya kazi mpaka usiku kwa kweli ukiwalaumu huwatendei haki
Watueleze tusichokijua ili tuache kuwalaumu. Results zimetoka January huu mwezi wa 4 unaisha. Kazi gani wanafanya?
 
Hua nafanya nao kazi mara mbili kwa mwaka
Naomba mnaofahamu mnisaidie hili suala, hivi ikitokea mwanafunzi amesahau kufanya swali la compulsory kwenye mtihani hua anakatwa alama zote za hilo swali au wanasahihisha halafu wanakata alama za swali mojawapo Kati ya aliyofanya?? Na je Kama ni alama za swali wanachukua ambalo amefaulu Sana au ambalo amefeli sana?.
 
Back
Top Bottom