Je, ni kweli elimu ya Tanzania ndio tatizo?

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,384
3,494
- Nmekutana na hizi mada sana haswa kwa vijana, kila swali utakalomuuliza kwann hajipush mwenyewe atasema elimu ya tanzania ndo imetuandaa kuajiriwa, lakini nikikaa nkiwaza vizuri na nkirelate na nchi ambazo nmeshatembelea naona kote duniani ni vile vile.

- Kibaya zaidi nawajua watu wengi ambao walienda kusoma nje baada ya kumaliza form 6 na wegine form 4 kusoma vyuoni mpaka wakamaliza lakini bado wakarudi nchini na wakasota kwenye maisha kama wengine, nimekuwa nikifuatilia pia interview kwenye vyombo mbalimbali unakuta mtu amesoma masters nje anarudi anasema baada ya kuona ajira ni ngumu ameamua kuuza makande, kiukweli huwa nabaki na maswali mengi sana haswa nikiwaza utayari wetu wa kuchangia uchumi na nchi zingine haswa ambazo zimeendelea, je ni kweli elimu yetu ndo tatizo ama kuna sababu ingine?
 
Siyo Tanzania tu bali Afrika nzima. Elimu yetu ni ya kikoloni na ndio maana tunaitwa nchi maskini wakati tuna maliasili nyingi kuliko mabara mengine.
 
Nimeipenda Sana content ya Mbunge huyu. Aliyoyaongea.... Yanastahili kufanyiwa kazi.
 

Attachments

  • VID-20210505-WA0047.mp4
    13.6 MB
Back
Top Bottom