Habarini za muda huu ndugu zangu,
Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao.
Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo.
Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule.
Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
Habari za humu Wadau!?
Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo,
Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua...
Habari za wakati huu.
Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara.
======
Unashauriwa kusoma>>>
UCHUMI: Hisa ni nini?
Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa
Uwekezaji katika...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule.
Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo.
Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa.
Nashindwa...
Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma.
Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake.
Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k
Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.
Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
Uchumi wa viwanda unakuja baada ya kupitia hatua kadhaa wa kadha,uchumi wa viwanda unajengwa kuanzia kwenye mitaala na sera,sera ya elimu zinazohakisi uhalisia wa teknologia ya viwanda.
Itakuwa ngumu kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kama hatuwezi kupitia hatua muhimu.
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa.
Nimwaza sana juu ya elimu...
Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?
Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
Makala hii nimeiandaa ili kukuelimisha elimu ya kawaida na muhimu kuhusu mabati,ikiwemo maneno yanayotumika kwenye bati, hivyo sitaingia kwa kina sana kuhusu namna bati linavyoundwa.Lengo ni kukuelimisha na kukufanya uweze kufahamu mambo muhimu kabla ya kuchagua na kununua bati kwa ajili ya...
ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu inayosaidia kumuondolea mtu mwamvuri wa ujinga na kumjengea uwezo wa kutazama mambo kwa mawanda mapana...
Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa...
Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.