duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri hapa Duniani fanya hivi hautajuta

    Kila dakika kila saaa kuwa mtu wa kushukuru , hapa utatumia ile kanuni ya the power of Gratitude kwamba unapozishukuru hela zako Basi MAZINGIRA yako ya Kupata hela yanaanza kuwa marahisi Shukuru kuhusu Afya yako kila Muda kila saaa kila dakika kila sekunde. Ruhusu MSAMAHA kwa kila Mtu hapa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Hali ya maisha ni ngumu sana Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni mfumo mfu hamuwezi kufanikiwa duniani kwa sababu ya "Unafiki"

    Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi. Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu. Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waungwa mkono na wengi kote duniani

    Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan. Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lijue Gereza la Kijeshi Hatari zaidi duniani linalofunga hadi Raia la Sednaya lililoko Jijini Damascus nchini Syria

    Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya Kwanza hufanyiwa Sherehe ya Mateso na Vipigo vikali ambavyo huwafanya Wafungwa hao washindwe Kuona...
  9. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

    Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

    Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    Wakuu sorry, Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi. Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu. Dah
  12. BigBaba

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ibrahim baba wa imani ila kizazi chake kimekuwa chanzo kikubwa cha vurugu duniani

    Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo. Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?
  15. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

    Nyegere Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo. Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana. Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita. Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tamaduni na mila za kufikirika (ajabu) Tanzania na duniani

    "Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa". Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu. Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

    Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu. Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nchi tano duniani zinazoongoza kwenye research and development

    Hizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu. Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa kila kitu. Country/Region Expenditures on R&D (billions of US$, real) 1 United States...
Back
Top Bottom