Siku ya Kimataifa ya Milima Duniani

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
80
96
Siku ya Kimataifa ya Milima ambayo huadhimishwa tarehe 11 Desemba, ni hutumika kuongeza ufahamu wa Utunzaji wa Mazingira ya Asili ya Misitu na kutoa wito kwa Jamii kuepuka na kuachana na shughuli za Kibinadamu ambazo zinahatarisha na kuharibu Mazingira

Katika Miaka ya hivi karibuni Dunia imeshuhidia uharibifu mkubwa wa Milima na hifadhi zake kutokana na shughuli za Kibinadamu kama Kilimo Uchimbaji wa Madini na Mawe ambapo hii huchangia ongezeko la athari hasi za mabadiliko ya tabianchi

Milima ni muhimu kwa maisha ya binadamu kwa kuwa chanzo cha rasilimali muhimu kama vile Maji Safi, Nishati, na Chakula. Kwa kuzingatia haya Uhifadhi wao ni muhimu katika kufikia malengo ya maendeleo endelevu.

IMG_20231211_104944_845.jpg
 
Back
Top Bottom