Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,194
- 10,929
Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo.
Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo.
Waislamu daima wamejuwa kuwa mayahudi ambao waliundiwa taifa la Israel ndani ya Palestina kuanzia mwaka 1948,wamejua kuwa dini hiyo ni batili na wafuasi wake ni waliolaaniwa.Hata hivyo wafuasi wa kikristo hasa katika nchi za kiafrika wameathirika sana na kutoweza kutofautisha baina ya ukristo na uyahudi na hata kuwaona mayahudi kuwa ni wenzao na washirika wao dhidi ya waislamu.
Mafunzo mengi ya Kiyahudi yameingizwa kwenye ukristo hasa kupitia makanisa yanayopata ufadhili kutoka Marekani.
Vita hivi vya Gaza vimetoa fursa kujua kuwa mayahudi walioko Israel hawana huruma na wakristo kabisa sawa na walivyo maadui kwa waislamu.
Visa hivyo na vitimbi vya mayahudi Jeusalem vimefanikiwa kuwatia hofu na kuwakimbiza kabisa wakristo eneo hilo takatifu.Wakristo kutoka nchi za mbali pekee ndio wanaofika kuzuru eneo hilo.
Briton Noel Gomez ambaye kazi yake ni kuwatembeza watalii wa kidini wakatoliki wanaingia Jerusalem hivi karibu alipata mshangao mkubwa alipotembelewa na mwandishi wa habari na kuingia naye ndani.
Akiwa mwenye haya usoni, akasema looh.
"Nimepigwa na butwa kweli.Nilitaraji kukuta angalau watu 50 au 100.Lakini hapa ni mimi na wewe tu"
Muongoza watalii mwengine wa Israel,Naomi Miller ambaye hupata mkate wake kwa shughuli hiyo alipofika mwenyewe kukagua kituo chake cha kazi alisema.
"Imekua kama zile hisia za Covid 19.Eneo takatifu kwa wakristo duniani kote na liko tupu namna hii !"
Sister wa dhehebu la Fransisca,Maria Celina Mendoza mwenye umri wa miaka 69 ambaye hufanya shughuli zake za kiroho Angola,kwa upande wake alipofika kwenye eneo hilo na kukuta alichokuwa hakutarajia akajisemea mwenyewe machozi yakimtoka.
"Ukweli kwamba wakristo wote wamehama hapa kunatia huzuni sana"