Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,036
Reaction score
28,082
Hivi walipimaje uzito huu,nikuulizeni chadomo maana nyie ndiyo huwa mnajua saaana kila kitu.
(Tafakuri)
 
Kwa makadirio.

Mass =Density times volume

Ukiweza kukadiria density ya dunia basi volume yake ni rahisi kujulikana tu maana diameter yake inajulikana, na ni sphere(approximately).
Endelea mkuu na mahesabu!tupe nondo!
Kuna mtu mmoja mjinga akaniuliza sasa tunavyojenga maghorofa si tunazidisha uzito,nikamjibu hapana kwa sababu,material tunazotumia ni tunazitoa ndani ya huu mtumbwi wetu dunia,na upo kwenye uzito uliokwisha pigwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom