Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 383
- 412
Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
ukiangalia uwezo wake wa kufunga, lolote linaweza kutokea akipata nafasi.Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
Mkuu usimdharau subiri dk 90Labda mmkokee moto aote kwanza
Chukua kinywaji chochote mimi nitalipiaNimekaa pale ...........
Kabisa mkuuUsisahau anacheza na wakina Bruno
Ikitokea amefunga basi goli mojaukiangalia uwezo wake wa kufunga, lolote linaweza kutokea akipata nafasi.
Unadhani atafunga kwa vichwa, penati, au mashuti ya mbali?
Je, utabiri wako ni mabao mangapi hasa yatapenya wavuni leo?
mzee wangu inatakiwa kueleweka kuwa kila goli analofunga sasa hivi linazidi kurefusha rekodi yake kama mfungaji bora wa muda wote wa soka la kimataifa. Hata likiwa goli moja la "tap-in" au penati, ili mradi mpira umeingia wavuni na timu imeshinda, mashabiki wa CR7 watasherehekea sana leo Hapo mjini HoustonIkitokea amefunga basi goli moja
Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
Itakua wewe ni mama wa nyumbani hufatilii mpira kama huzijui namba za ronaldo kwenye soka dunianiAmeshindwa kuishangaza dunia kwenye umri wa boli aje aishangaze dunia akiwa mzee?
😂😂😂Aiseeeee
Umenena mkuumzee wangu inatakiwa kueleweka kuwa kila goli analofunga sasa hivi linazidi kurefusha rekodi yake kama mfungaji bora wa muda wote wa soka la kimataifa. Hata likiwa goli moja la "tap-in" au penati, ili mradi mpira umeingia wavuni na timu imeshinda, mashabiki wa CR7 watasherehekea sana leo Hapo mjini Houston