Hili kombe la dunia linanichanganya kwa kweli?

Hili kombe la dunia linanichanganya kwa kweli?

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
777
Reaction score
2,830
Screenshot_20260615_083204_YouTube.jpg
 
Ha ha haa ufaransa ni chama langu lazima tubebe ndoo

NB France hakunaga ubaguzi wa rangi jamaa wapo peace sana!
 
Jidanganye tu mkuu
kivipi au mkuu hujui historia
Slave trade ni nchi gani za ulaya zilianza kupiga marufuku utumwa?

France kwani blacks ni wengi?
Katika nchi za ulaya ushawahi kuishi uingereza?China au Asia

Yaani kuna nchi moja sihitaji jina mtu mweusi (black) wanakusugua ngozi
 
France blacks ni wengi mno na wamejikita zaidi kwenye sports, music and films kama namna ya ku-survive na tusisahau kwenye crime pia ni wabobezi waliotukuka.
Screenshot_20260615_140431_Google.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom