TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
2,048
3,568
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini


Physics.jpg
1605177314547.png
 
D
R.I.P Commissioner.
Nakumbuka nilisomaga Simple harmonic Motion kwake. Enzi zile anafundishia Ilala Boma.
Tutaendelea kukumbuka daima.
Ile battle yako na Mgote naona ndo ishaisha.daaaaah
Daah we acha tu...
 
Back
Top Bottom