Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt.

Niliambia mmoja anayeitwa Naton Jr kuwa matamshi ya mwanasiasa haiwezi kupewa uzito wowote. Mwingine anayeitwa ichoboy01 naye akasema matamshi ya waziri ni kama matamshi ya Mungu, lazima waiamini. Nikawaambia walete report kutoka GOT, WB au IMF lakini hawakufanya hivyo. Lakini siku ya nyani kufa miti zote huteleza.

Sasa angalieni latest report kutoka benki ya dunia inayosema kuwa TZ ina access to electricity ya 35 % huku Kenya mahasimu wenu wa jadi ikiwa na 75%. Sasa tusiwahi kubishana tena kuhusu jambo hili. Wachumi wa benki ya dunia wameongea basi nyie mkubali ukweli yaishe.

By the way, nchi yenye highest access to electricity in Sub-Saharan Africa ni Seychelles ikiwa na access to electricity ya 100% ikifuatiwa na Mauritius ambayo ina access to electricity ya 97.5 %. Halafu cha ajabu ni Kuwa Tanzania na Somalia wote wana access to electricity sawa ya 35%. Ligi ya Tanzania ni somalia kwenye mambo ya umeme. Aisee Mlazy mmoja amfahamishe waziri wenu wa kawi kuhusu hii list ya benki ya dunia.

Kumbuka kuwa nchi zimepangwa in Alphabetic order na kuwa nchi za Kiarabu kama Egypt hazipo kwenye list, hapa tunazingatia Sub-saharan African countries tu.

joto la jiwe Geza Ulole
MK254
Teargass
komora096

Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa | Data

Access to electricity (% of population)Sub-Saharan Africa

World Bank, Sustainable Energy for All ( SE4ALL ) database from the SE4ALL Global Tracking Framework led jointly by the World Bank, International Energy Agency, and the Energy Sector Management Assistance Program.
License : CC BY-4.0
LineBarMap
Also ShowShareDetails
LABEL
placeholder.png

2018201720162015201420132012201120102009200820072006200520042003200220012000199919981997199620182017201620152014201320122011201020092008200720062005200420032002200120001999199819971996

Download​

CSVXMLEXCEL

DataBank

Online tool for visualization and analysis

WDI Tables

Thematic data tables from WDI

Selected Countries and Economies​

Country
Most Recent Year
Most Recent Value

Sub-Saharan Africa
2018
47.7

Sub-Saharan Africa​

Country
Most Recent Year
Most Recent Value

Angola
2018
43.3

Benin
2018
41.5

Botswana
2018
64.9

Burkina Faso
2018
14.4

Burundi
2018
11.0

Cabo Verde
2018
93.6

Cameroon
2018
62.7

Central African Republic
2018
32.4

Chad
2018
11.8

Comoros
2018
81.9

Congo, Dem. Rep.
2018
19.0

Congo, Rep.
2018
68.5

Cote d'Ivoire
2018
67.0

Equatorial Guinea
2018
67.0

Eritrea
2018
49.6

Eswatini
2018
76.5

Ethiopia
2018
45.0

Gabon
2018
93.0

Gambia, The
2018
60.3

Ghana
2018
82.4

Guinea
2018
44.0

Guinea-Bissau
2018
28.7

Kenya
2018
75.0

Lesotho
2018
47.0

Liberia
2018
25.9

Madagascar
2018
25.9

Malawi
2018
18.0

Mali
2018
50.9

Mauritania
2018
44.5

Mauritius
2018
97.5

Mozambique
2018
31.1

Namibia
2018
53.9

Niger
2018
17.6

Nigeria
2018
56.5

Rwanda
2018
34.7

Sao Tome and Principe
2018
71.0

Senegal
2018
67.0

Seychelles
2018
100.0

Sierra Leone
2018
26.1

Somalia
2018
35.3

South Africa
2018
91.2

South Sudan
2018
28.2

Sudan
2018
59.8

Tanzania
2018
35.6

Togo
2018
51.3

Uganda
2018
42.6

Zambia
2018
39.8

Zimbabwe
2018
41.0







Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa | Data
 

Seychelles wana 100% access to electricity kwa mujibu wa benki ya dunia. Hamna mtu yeyote ambaye hana umeme huko Seychelles. Tanzania bado kuna watu wengi ambao hawana umeme. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya.
 
Seychelles wana 100% access to electricity kwa mujibu wa benki ya dunia. Hamna mtu yeyote ambaye hana umeme huko Seychelles. Tanzania bado kuna watu wengi ambao hawana umeme. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya mpumbavu wewe.
Seychelles ni kisiwa mzee watu hawafiki hata millioni unategemea nn?
 
sychless ni kisiwa mzee watu hawafiki hata millioni unategemea nn?
Seychelles ni nchi pia kama nchi yoyote ile, wacha madharau. Kwa hivyo umekubali kuwa TZ sio nchi yenye the highest access to electricity in Africa?
 
Only 2.7 million customers are connected to electricity in Tanzania out of the possible 10 million. That translate to 30% connectivity rate.
 
Tanzania tuna vijiji elfu 12 kati ya hizo vijiji 10 vina umeme bado vijiji elfu 2 Tanzania hoyeeeeeee!
 
Back
Top Bottom