Dunia yetu ina vitu vingi mno. Je, wajua namba au alphabet huwa na frequence fulani

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,619
20,947
Je, wajua namba hiz hizi za kawaida huwa na frequence fulani endapo kama zitapangwa katika mpangilio maalum ndivyo unavyoweza kusababisha impact ya aina fulani mfano kutibu,kukuletea matokeo chanya ya aina fulani na mengineyo but how this work?

Control of the future is 148721091
The macroregulation level is in the numerical row.
These numbers, like a bridge, connect you to the level where the event is realized.
Acha niitoe elimu yangu ya ajabu hapa
"How is this number series used?

You are planning an event and, as it were, the beginning of the action - well, where are you, yes?.. at this point - you mark in Consciousness as a number that is physically located near you. But this bridge - there are just numbers, like a bridge, that connect you to the level where the event is realized, then the number series works as a connecting system. That's all. From the point of view of collective consciousness, you simply create access to the event of the future, control access, where there is a macro level, macro regulation"Namba na uhusiano wake katika nguvu za kiasili 1 2 3 4 7 9 11 14 hizi hujulikana kama namba za tumaini lililo jena au prosperity,16 17 19 20 22 23 10 26 27 namba hizi hukaa katika fungu la namba nzuri mno na zenye baraka, na hizi 5 6 8 12 15 18 21 kundi lake ni indifferent,13 24 25 28 29 30 namba hizi huwa na frequence mbaya endapo hesabu fulani zitafanyika kwa mpangilio fulani huku baadhi ya herufi ya jina la mhusika kama zitapatikana welcome all genius men #mshana jr
 
Je, wajua namba hiz hizi za kawaida huwa na frequence fulani endapo kama zitapangwa katika mpangilio maalum ndivyo unavyoweza kusababisha impact ya aina fulani mfano kutibu,kukuletea matokeo chanya ya aina fulani na mengineyo but how this work?

Control of the future is 148721091
The macroregulation level is in the numerical row.
These numbers, like a bridge, connect you to the level where the event is realized.
Acha niitoe elimu yangu ya ajabu hapa
"How is this number series used?

You are planning an event and, as it were, the beginning of the action - well, where are you, yes?.. at this point - you mark in Consciousness as a number that is physically located near you. But this bridge - there are just numbers, like a bridge, that connect you to the level where the event is realized, then the number series works as a connecting system. That's all. From the point of view of collective consciousness, you simply create access to the event of the future, control access, where there is a macro level, macro regulation". welcome all genius men #mshana jr
Aisee Tar 28 kura zote kwa jeipiemu
 
Ukikalia hizi habar utachanganyikiwa mzee, ushawahi kukutana na Golden number? Huki sasa utaishiwa nguvu maana utapewa kila aina ya theories na calculation. Bado kuna geometry of life za akina L.da vinci na Pythogras, wewe kama unaweza pata mkate wako wa kila siku na kulala masaa 6 mpaka 8 enjoy maisha acha kujisumbua na vitu complex visivyo na msaada maishani mwako
 
Kama kuna kitu anafanya juu ya hivi vitu kupata mkate wa kila siku ni vyema pia.

Ila kuongeza maarifa si kujisumbua.

Vitu vyote ni vya kwetu sisi binadamu kuvisoma kuvifahamu na si viingilie taratibu zetu za maisha
 
Kama kuna kitu anafanya juu ya hivi vitu kupata mkate wa kila siku ni vyema pia.

Ila kuongeza maarifa si kujisumbua.
upo sawa ndg hii ni kama hobby tu and it should not cost you anythings kusoma kitabu kwenda kuangalia mechi kwenda beach kuogelea kuingia bar kupata 2 3 and so so
 
Nafikiri namna ya kupresent mada imenishinda lakini maesabu haya na kanuni hizi zipo waarabu wameadopt fomula hizi toka latin nao huzifanyia kazi vizuri mno kwa kutumia namba hizi hizi hutengeneza vitu vinavyo itwa taweez katika aina ya square box katika muda fulani na saa fulani navyo husaidia sana lakini haya yote yapo chini ya frequence ya nguvu ya namba kuharibu au kuponya au kuleta bahati na nk
 
Uko sahihi nilienda kwa sangoma mpemba ye anacheza na namba tu
 
Duu! Hebu andaa foundation thread utuelezee hicho unachotaka kueleza halafu sasa ndio urudi hapa kuelezea.
 
Back
Top Bottom