Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
Lowassa amepoteza mdogo wake anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa usiku wa kuamkia leo hii kwenye hospitali ya Agha Khan.

Mungu ampumzishe mahali salama na aipatie nguvu familia ya marehemu.

Lowassa.jpg



AMEZIKWA TAREHE 29/04/2020
Lowassa.jpg


Ben.jpg
 
#TANZIA Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aga khan jijini Dar es salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

1588056359226.png
 
Back
Top Bottom