Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,202
2,000
Mwanzo 11 mstari wa 4

Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana.

Turudi kwenye uduara project zinazoendelea duniani na nchi ni tofauti kuhusu mambo ya space. Ukisema wote ni wapotoshaji iyo ni ngumu kumeza.

KATIKA vitabu ambavyo vinasifika kuwa na content ya maaana ni kitabu cha Mwanzo.

Study questions
Je, tuseme hatujui kutafsiri maandiko?
Je, tuseme andiko hilo haliko sahii bali wanaspace ndio wako sahihi
Je, wajenzi wa babel walikuwa ni wajinga ivo? Au kuna kitu' au walikuwa wana mambo yao ambayo ni tofauti na andiko? Kumbuka Mungu ndiye alie stopisha ile activity

Nakaribisha mchango wenu wana bodi.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
11,844
2,000
Unahabari imani hazitaki logics?
Ukiuliza maswali yenye complication utajibiwa hilo ni fumbo la imani!!

Biblia imeonyesha vitu kadhaa mwanzo lkn haijulikani viliumbwa au lah! Mfano maji na giza! Maana picha linaanza roho ya Mungu ati ilikuwa juu ya vilindi vya maji! So yalitokeaje? Giza liliumbwa vipi.

Vitabu vya dini viliandikwa kwa upeo wa mwanadamu na si kama tunavyoaminishwa.. Mungu huenda yupo lkn si vile azaniwavyo! It can be a kind of power na Kuna sheria za ulimwengu ambazo bado hatujazijua.

Samahani kwa kutoka nje ya mada.
 
Jurjani

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
17,428
2,000
Unahabari imani hazitaki logics..?
Ukiuliza maswali yenye complication utajibiwa hilo ni fumbo la imani!!

Biblia imeonyesha vitu kadhaa mwanzo lkn haijulikani viliumbwa au lah! Mfano maji na giza! Maana picha linaanza roho ya Mungu ati ilikuwa juu ya vilindi vya maji! So yalitokeaje..?? Giza liliumbwa vipi..

Vitabu vya dini viliandikwa kwa upeo wa mwanadamu na si kama tunavyoaminishwa.. Mungu huenda yupo lkn si vile azaniwavyo! It can be a kind of power na Kuna sheria za ulimwengu ambazo bado hatujazijua.

Samahani kwa kutoka nje ya mada.
Hivi hii "Logic" ina jambo gani jipya ?

Logic imekusaidia kwa lipi kuujua Ukweli, maana naona mnalitumia sana hili neno "Logic".

Ahsante.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
11,844
2,000
Waterbender,
Usichoelewa ni kipi? Hivi huyo roho wa Mungu alikuwa anawaingia watu wa zamani tu? Siku hizi yupo bize au?

Mkuu ukileta logics kwenye hivi vitabu vya dini hakuna utakachoambulia utakuta wanakuita shetani na majina mabaya mabaya!

Hakuna cha roho wa Mungu wala wa shetani!!
 
Hakuna cha roho wa Mungu wala wa shetani!
Asante kwa mchango.
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,202
2,000
Usichoelewa ni kipi? Hivi huyo roho wa Mungu alikuwa anawaingia watu wa zamani tu? Sikuhizi yupo bize au?

Mkuu ukileta logics kwenye hivi vitabu vya dini hakuna utakachoambulia utakuta wanakuita shetani na majina mabaya mabaya!!

Hakuna cha roho wa Mungu wala wa shetani!!
Wataalam wanasema kitabu kinaitaji roho mtakatifu akushukie ili ukielewe mimi kila nikisoma ndio maswali yana jaa kichwani nikaona nisubiri roho mtakatifu.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
11,844
2,000
wataalam wanasema kitabu kinaitaji roho mtakatifu akushukie ili ukielewe mm kila nikisoma ndo maswal yana jaa kichwan nikaona nisunir roho mtktif
Ha ha! Msubiri akushukie na utatupa mrejesho akishuka!
 
Astronomer The Great

JF-Expert Member
May 2, 2018
940
1,000
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?

Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
1,519
2,000
Waterbender,

MBONA MUNGUALINGILIA KATI?
Yaonesha Mungu hakuwataka hawa wanadamu wapoteze muda wao kwa kitu ambacho wasingeliweza kufika huko juu kwa kujenga jengo.

Hekima hapa ni kuwa Mungu aliweka sababu tu ya kutimiza malengo yake ya kimaumbile ,kama ilivyosema katika andiko
''nendeni duniani mukazaane mukaijaze dunia''

Hivyo Mungu aliwapa Lugha ili wasielewane na kuanza kukimbiana na kuunda Mataifa mpaya na kutawanyika katika dunia.

`
 
Kuna watu wangapi leo wanapoteza muda mungu kwanini mungu awastopishi
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,202
2,000
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?

Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
Ukiniuliza ivo sina majibu labda nijitaid kudanganya ila mpangilio wa bible nao ni wa kipeekee sanaa.
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
1,519
2,000
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?

Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
Ule Mwanzo Kifungu cha 9 mstari8----utakutana na Msemo wa Mungu kuwa hataleta tena mafuriko hadi milele, kitu ambacho si kweli,mafuriko yanaendelea kuja kila mwaka na yanaua watu na kuharibu mali.

Au ule upinde wa mvua nao eti ni alama ya agano hilo, wakati ki sayansi upinde unatokana na refraction of light wakati wa mvua au mawingu.Lakini inasemwa eti ndio alama ya kumkumbusha Mungu asilete tena mafuriko.

Mbona upinde unatoka na Mungu huyo hakumbuki ,mafuriko kila mwaka?
Kitabu hiki kinatia shaka sana 'Authenticity' yake
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,202
2,000
Ilikuwa ni njia ya binadamu yya kutaka KUMUONA/ kumfikia Mungu iliyokuwa na mtazamo hasi. Huwezi kujenga kitu kikasisimama kwenye vast emptiness. Kule kuangushwa kwa mnara ilikuwa ni Mungu tu kuonesha makucha yake lakini hata kama angewaacha wasingefika mbali.

Jr
Wangap leo wanafanya mambo kwa njia hasi hata kupelekea vifo vyao lakini mungu hawahamishi njia hiyo? kwanini Babel tower ikamuuma sana? Angeacha mainjinia tu wapige kazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom