Tanzia: Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma afariki Dunia

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,104
Aliekuwa Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma Ngugu, Antonio Manyanda amefariki duni.

Mwili inasemekana uko Hospitali ya Lugalo ukifanyiwa uchunguzi. Inaonekana kama heart attack. Alikimbizwa BOSCH usiku lakini akafariki kabla ya kufika saa 7 usiku. Alikuwa arudi Dodoma leo asubuhi baada ya Pasaka.

Napenda kutoa pole kwa wanafamilia na wote walio fikwa na msiba huu mzito.

Manyanda.JPG

B174D735-3B13-4D11-ACB4-1D6AD2FDDBB0.jpeg
 
Tumeelewa, pole kwa wafiwa.. Waliokutana naye kabla walijua kuwa yuko Mloganzila?
 
Poleni sana wafiwa, mazishi tataratibiwa na Wizara ya Afya? Au ndugu na jamaa zake wakishirikiana na Mwajiri.
 
So, sad. Niwakumbushe tu watanzania ukiona umepelekwa Mloganzila ama Mwananyamala andika kabisa urithi..

Kule madaktari waliosoma historia ya udaktari na sio udaktari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa wanaopelekwa Mloganzila wakipelekwa hospitali nyingine yeyote wangekufa pia, kama ni kupona wapo wanaona pona pia, sema wanaopelekwa huko hali zao huwa mbaya sana
 
kuitakasa sifa yao itachukua muda.

inasemekana MLOGANZILA hawapo makini sana kwa mgonjwa huenda ni kiburi au kutaka pesa au kutoelewa udaktari.

ineteuliwakuwa Hospital ya CORONA km ilivyo sasa hadi ugonjwa utakapoisha
 
Back
Top Bottom